WAFANYABIASHARA MKOA WA MWANZA WAGOMA TENA KUPINGA MASHINE ZA EFD

Mgomo wa wafanyabiashara kugomea mashine za kielektroniki za EFD umezidi kushika kasi katika baadhi ya mikoa kama ilivyotokea jana katika baadhi ya mikoa kama Mara, Iringa na Dar Es Salaam, hali hii imeendelea leo katika jiji la Mwanza pia na Dodoma kama unavyoona katika hizi picha zilichukuliwa jijini mwanza na Blogger Gsengo






picha ni kutoka blog ya gsengo

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA