Tatizo la usafiri usababisha watu kufikia hatua ya kuvunja sheria chukulia picha hii ni hatari kubwa sana anayoifanya mtu huyu,tuchukue tahadhali kubwa hasa tunapoendesha vyombo vya moto na kuzingatia sheria za barabarani.
Bwana mkubwa Mrema akiwa anachonga mawili matatu na Mh.Lowassa picha hii nimeipenda baada ya kuona mheshimiwa Latonga akiwa ametinga snicker white chini na juu akiwa amevalia suti nyeusi
Mvua hii iliyonyeesha Dar kwa hizi siku tatu basi hali hiko hivi kwa maeneo ya mwananyamala,msasani,mikocheni maeneo ya shoppers plaza,Buguruni daaa....ni siwasahau watu wa manzese na kwa Mtogole