Posts

ALI KIBA MAKE IT HAPPEN........

Image
Kama wewe ni Mtanzania mpenda maendeleo hasa ya muziki wetu huna budi kumpongeza Ali Kiba kwa hatua aliyofikia na mafanikio yake kwa kuwa mmoja kati ya wasanii 8 toka Afrika walio-sign mkataba mnono sana. Hapo kati ni 2face , Kiba mwenyewe na JK wakiwa moja ya mitaa ya Chicago U.S.A Hapa ni ma-star wanaounda kundi la ONE8 wakiwa Studio waki-record ngoma yao pande za Chicago........ ONE8 ni kundi linalojumlisha ma-star 8 across Africa akiwemo Ali Kiba kutoka hapa kwetu Tanzania , Navio- Uganda , Aman - Kenya, 2face - Nigeria na wengine..................... Me nakutakia mafanikio mema ndugu. Tuwakilishe Watanzania na Muziki wetu the source of this info is from www.arniegizzle.blogspot.com

NGUVU YA UMMA NOMA,MBUNGE MTEULE WA MUSOMA MJI NI

Image
picha mbalimbali za Mbunge mteule wa jimbo la Musoma Mjini katika harakati zake za kampeni na hatimaye mambo yamekamilika leo asubuhi baada ya kutangazwa rasmi kuwa mshindi wa jimbo hilo kupitia chama chake cha CHADEMA

WELCOME TO THE OFFICIAL LAUNCHING OF THE NEW BAND

Image
WELCOME TO THE OFFICIAL LAUNCHING OF THE NEW BAND WITH MANY KIND OF MUSIC VIBES(THE M BAND) AT MZALENDO PUB MILLENNIUM TOWERS , FEATURING GRACE MATATA, BEN POL & MALFRED, FROM 8 pm TILL DAWN. DON'T THINK, KNOW THE BEST.

MAMBO NDANI YA ZENJ

Image
WAKATI MATOKEO YAKIENDELEA KUWASILI:CUF WAVAMIA OFISI ZA ZEC ASUBUHI HII KUTAKA SEIF SHARIFF HAMAD ATANGAZWE MSHINDI ZANZIBAR Wafuasi wa CUF wakiwa kwenye Ofisi za Tume ya Uchaguzi zanzibar (ZEC) kushinikiza mgombea wa chama hicho Maalim Seif Shariff Hamad atangazwe kuwa mshindi. -------------------- MATOKEO YA AWALI URAIS ZANZIBAR TUME ya uchaguzi Zanzibar imetangaza matokeo ya awali ya nafasi ya Urais wa Zanzibar kwa majimbo 15 ya Unguja na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha mapinduzi CCM DK ALI MOHAMED SHEIN ameonekana kung,aa zaidi kwa ushindi wa majimbo mengi kisiwani Humo. Akisoma matokeo hayo mbele ya waandishi wa habari,waalikwa,waangalizi wa uchaguzi na wananchi katika ukumbi wa matangazo ya matokeo huko katika hoteli ya Bwawani mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar - ZEC - KHATIB MWINYICHANDE amesema FUONI Waliojiandikisha 10884 Waliopiga kura 9367 %86.1 Kura halali 9201 %98.2 Zilizoharibika 166 %1.8 DK SHEIN CCM 6351 %69.0 Maalim Seif CUF 2777 %30.2 ...

BREKING NEWZ SUPER COACH MZIRAY KATUTOKA

Image
Marehemu Syllesai HABARI ZINASEMA SUPER COACH SYLVESTER SAID MZIRAY AMEFARIKI DUNIA ALFAJIRI YA LEO KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN JIJINI DAR ALIKOKUWA AMELAZWA AKISUMBULIWA N MALARIA. HABARI ZA MIPANGO YA MAZISHI ZITAFUATA MARA TU BAADA YA KUPATIKANA. COACH MZIRAY , ALIYEKUWA MWAJIRIWA WA CHUO KIKUU HURIA KAMA MHADHIRI, ATAKUMBUKWA KWA UMAHIRI KATIKA UFUNDISHAJI SOKA KATIKA VILABU MBALIMBALI HADI TIMU YA TAIFA ILIYOSHINDA UBINGWA WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI. ALIFUNDISHA PIA PILSNER, SIMBA, YANGA, PAN AFRICAN NA KABLA YA MAUTI KUMKUTA ALIKUWA MWALIMU WA VIUNGO NA SAIKOLOJIA WA KLABU YA SIMBA. GLOBU YA JAMII INAUNGANA NA WATANZANIA WOTE KUOMBOLEZA MSIBA HUU MZITO AMBAO NI PIGO KWA TASNIA YA MICHEZO NCHINI UKIZINGATIA TUNA MAKOCHA WACHACHE WALIOSOMEA FANI HIYO NA KUBOBEA. MOLA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI - AMIN

AY NA SEAN KINGSTON NDANI YA COLLABLE

Image
Ambwene Yesaya (AY) kwa wakati huu yupo mjini Mombasa akisubiri kupiga Show katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa wa Nchini Kenya, lakini Ishu nayotaka kuzungumzia hapa ni kuhusiana na Collabo waliypanga Kupiga A.Y na Msanii wa Kimataifa Sean Kingston, Kama unakumbuka A.Y aliwahi kusema miezi ya Kumi au Kumi na moja atachomoka kuelekea Katika jiji la Miami nchini marekani, Kukutana na Sean Kingston, So Gwafara Gwafara ilimvutia wire, ili kujua Safari hiyo ipo ama ni Magumashi. A.Y: Baada ya kutoka huku Mombasa Safari inayofuata ni ya kwenda Miami nchini Marekani, na tayari nimesha rekodi ngoma tatu, ambazo nitakwenda kumskilizisha Kingston so yeye atachagua ipi ambayo ipo mzuka kwake kutupia Vocal, lakini pia niko tayari kukaa nae chini kutunga Idea mpya ya wimbo kama hizi hazitomvutia. 255: Umesema umefanya Ngoma, Je Ngoma hizo umepigia Studio gani, na kuna msanii yeyote kutoka Bongo au Afrika Mashariki uliyemshirikisha kwenye Hizo ngoma? A.Y: Ngoma hizo nimepiga chini ya Mtu mzima P...

SITOMWACHA LYRICS BY STEVE R&B RAET NGWEA

Verse 1: Steve r*b nakuhitaji we baby sina raha ukiwa mbali na mimi crazy yeah! nakuhitaji milele njoo tujipange wote milele unipe malavidaviyazidi kilele yeah! showty you drive me crazy yeah showty you drive me crazy eeeeeh Pre chorus ukinibania ntaumia, utanifanya daily nalia nalia baby sitovumilia vumila kwani moyo umekuchagua chagua weweX 2 Chorus sitomwacha sitomwacha huyu mtoto mzuri nikimpata ananipagawisha pagawisha anavyowaka uzuri wake kama taa showty nikibalieee showty niwe nawee X 2 Verse 2: Ngwea yeah , cowbama na east zoo yooh, holla! nizaidi ya zay b jinsi alivyo gado huyu baby figure yake roll modal aah anajiheshim anaheshimika kila angle hakuna nachofeel kwake zaidi ya mapendo sina mkataba nae bali nna malengo anajua kuhandle (ahaaaa) hana skendo body yake inakubali kila style ya pamba clssic million dolla smile anauchanganya ubongo wangu ka bacteria siku nisipo muona i feel sick, like malaria sio mi wakwanza , nilianza toka enzi wengi wamechanganyikiwa na mapenzi she ...