BUK 3 TU MLANGONI Ndani ya Victoria Fm 90.6 mizawadi ya msimu wa dhahabu ambayo pia kupitia redio hiyo yalikuwa yakimwagwa! siunajuwa tena' toka shoto Dj Lima, Adam mchomvu na Hosti wa kipindi husika (Ladha kamili) presenta John Mponeja. gsengo ndani ya musoma Kumuona babu'' Adam mchomvu akisema na wakazi wa maeneo ya stendi ya zamani iliyokatikati ya mji wa Musoma mkoani Mara, ambapo mizawadi ya msimu husika ilitolewa. Sahihi zikiangukwa Eneo la Nyakato kwa saa nane, madereva wa pikipiki walizawadiwa mafuta kwaajili ya vyombo vyao vya usafiri, wengine wakitunukishwa tiket kuhudhuria Fiesta Musoma ijumaa hii tarehe 1july2011. Picha ni kwa hisani ya blog ya www.gsengo.blogspot.com