HIVI NDIVYO SHAGGY ALIPAGAWISHA FIESTA YA MWANZA

NAMI NILIKUWEPO NIKICHEK SHOW YA SHAGGY IKIENDELEA PAMOJA NA COLLEAGUE


Top Caribbean entertainers, Orville Richard Burrell aka Shaggy leo ametoa burudani ya kufuka mtu kwa wakazi wa Mwanza, vitongoji vyake na mikoa ya karibu waliohudhuria Tamasha la kwanza la Serengeti Fiesta Kirumba Mwanza.






Mavocalisti wa Shaggy wakisababisha!

Katika steji jamaa ni mnoma!

B12,Zama,Mama Jonii na Mchomvu ''Haya Twendeeeeeh!!

Na yako macho...

Mbunifu mashuhuri nchini Tanzania na Afrika Ally Remtullah naye alikuwemo sambamba na kushuhudia show ya kwanza nchini pia alikuwa na banda maalum kwaajili ya kuuza Bidhaa za ubunifu wake hapa katika pic na Rock Citiz Sharobaros.

Barnaba na wana wa Rock City eh bwanaaaeeeH!!



Lejendari-Hipitihipopu' wakiwa back stage.

Cosmo wa kipindi cha Caribean Beat Clouds Fm na wanachama wenzake.

Kama kawaida yake msanii Diamond alilimiliki vilivyo jukwaa na kucheza na wana Mwanza.

Mc wa shughuli Adam Mchomvu aka Baba Joniii' akichanwa 'Kifrii staili' na mjunki mmoko hivi aliyepanda stage kufanya makeke.

Fid Q aliwaongoza wasanii wote waliodrop Mwanza kusherehesha Fiesta 2011 katika DAKIKA MOJA YA UTULIVU kwaajili ya kumbukumbu ya aliyekuwa Mtangazaji Mheshimiwa Mbunge Amina Chifupa aliyefariki dunia tarehe 26/juni

Haina Majotrooo! Hawa waliamua kujitenga kabisa kwenye kona na kuamua kutupia kitu cha kiduku!

Mtangazaji wa Soso-Fresh Reuben ndege aka mzeeeeyah aka Ncha Kali shukurani kwa wakazi wa mwanza na tathimini mahojiano.

Fire Works zilipigwa kuashiria hitimisho la show.
Adjya-djyaaaaa....Mwana FA on the stage.

Saa nyingi watu wamepagawa!!!

Mwasiti na Chiddy Benz Walifanya booonge la Kolabo...

Pipoz...

Kama ada yake mtu mzima Profesa Jay alikamatisha na kudatisha ile mbayaa!!

Show ilizingatia vigezo vyote vya usalama kimataifa kwani hata walio dhulika kutokana na mishemishe za hapa na pale walipata huduma ya kwanza katika sehemu maalum Uwanja wa CCM Kirumba.

PICHA NA STORY ZOTE NI KWA HISANI YA BLOG YA www.gsengo.blogspot.com



Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA