Posts

MUSOMA WALIVYOKICHAFUA KWENYE FIESTA

Image
SERENGETI FIESTA 2011 MUSOMA Picha na: Ahmad Issa Michuzi

MAJOTROOO YA FIESTA KUHAMIA MUSOMA IJUMAA

Image
BUK 3 TU MLANGONI Ndani ya Victoria Fm 90.6 mizawadi ya msimu wa dhahabu ambayo pia kupitia redio hiyo yalikuwa yakimwagwa! siunajuwa tena' toka shoto Dj Lima, Adam mchomvu na Hosti wa kipindi husika (Ladha kamili) presenta John Mponeja. gsengo ndani ya musoma Kumuona babu'' Adam mchomvu akisema na wakazi wa maeneo ya stendi ya zamani iliyokatikati ya mji wa Musoma mkoani Mara, ambapo mizawadi ya msimu husika ilitolewa. Sahihi zikiangukwa Eneo la Nyakato kwa saa nane, madereva wa pikipiki walizawadiwa mafuta kwaajili ya vyombo vyao vya usafiri, wengine wakitunukishwa tiket kuhudhuria Fiesta Musoma ijumaa hii tarehe 1july2011. Picha ni kwa hisani ya blog ya www.gsengo.blogspot.com

COMING SOOOOOOOOON

Image
New bongo movie coming soon Ni simulizi ya mwandishi wa habari aliyejijengea umaarufu mkubwa kwa jamii yake kwa kuibua yaliyofichika na kuriport matukio makubwa kwa wakati muafaka"DONDA LA KICHWA MKAGUZI MKONO".Vidonda:-Mauaji ya raia,madawa ya kulevya na Ufisadi,ufanisi wa mwandishi huyu uliacha maswali mengi kwa jamii yake,huyu ni mtu wa aina gani anavitu gan vinavyomfanya afanye kazi kwa ufanisi?kutana na maaskari waliobobea katika uchunguzi makini na kugundua nini kinaendelea.Directed by Ramadhan Juma kanzaga.

HIVI NDIVYO SHAGGY ALIPAGAWISHA FIESTA YA MWANZA

Image
NAMI NILIKUWEPO NIKICHEK SHOW YA SHAGGY IKIENDELEA PAMOJA NA COLLEAGUE Top Caribbean entertainers, Orville Richard Burrell aka Shaggy leo ametoa burudani ya kufuka mtu kwa wakazi wa Mwanza, vitongoji vyake na mikoa ya karibu waliohudhuria Tamasha la kwanza la Serengeti Fiesta Kirumba Mwanza. Mavocalisti wa Shaggy wakisababisha! Katika steji jamaa ni mnoma! B12,Zama,Mama Jonii na Mchomvu ''Haya Twendeeeeeh!! Na yako macho.. . Mbunifu mashuhuri nchini Tanzania na Afrika Ally Remtullah naye alikuwemo sambamba na kushuhudia show ya kwanza nchini pia alikuwa na banda maalum kwaajili ya kuuza Bidhaa za ubunifu wake hapa katika pic na Rock Citiz Sharobaros. Barnaba na wana wa Rock City eh bwanaaaeeeH!! Lejendari-Hipitihipopu' wakiwa back stage. Cosmo wa kipindi cha Caribean Beat Clouds Fm na wanachama wenzake. Kama kawaida yake msanii Diamond alilimiliki vilivyo jukwaa na kucheza na wana Mwanza. Mc wa shughuli Adam Mchomvu aka Baba Joniii' akichanwa...