Posts

TAARIFA KUTOKA TCU KUHUSU UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2012/2013

UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (‘ Tanzania Commission for Universities ’ -TCU ) ikishirikiana na Baraza laTaifa la Elimu ya Ufundi (‘ National Council for Technical Education’ - NACTE ) pamoja na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu ( Higher Education Students Loans Board ) inapenda kuutarifu umma kuhusu utaratibu wa kujiunga na vyuo vya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2012/2013 kupitia mifumo ya “Pre-entry”, “Mature Age Entry”, “Equivalent Qualifications” na mfumo wa pamoja wa udahili (‘Central Admission System’) na utaratibu wa mikopo kama ifuatavyo: 1.      MFUMO WA UDAHILI KUANZIA MWAKA 2012/13 1.1 Utaratibu wa Kuendesha Program za “Pre-entry” na “Mature Age Entry” Kuanzia mwaka huu 2012, vyuo vyote vitakavyotaka kuendesha mafunzo ya awali kabla ya mwombaji kustahili kudahiliwa ili kuweza kujiunga na programu za elimu ya juu (pre-entry programmes) pamoja na kuendesha mitihani ya kupitia mfumo wa “Mature Age Entry” vinataki...

BROKEN HEART DANCE by SOLO THANG ft NIAMH CHAMBERS(OFFICIAL VIDEO)

Image

download new song of Linex ft Diamond - Nitaificha wapi

download pia SUMA LEE-Atoke Nje source www.djchoka blogspot.com

Happy Birthday Erick Charles

Image
Dear brother, it's difficult for me to pour out all my wishes for you in one single line, but all I can say is that I owe many of my happy times to you. May you have the best of Birthdays and successful years ahead.

HAPPY BIRTHDAY ANDREW MABEBA

Image
Happy Birthday to a wonderful brother and good friend.

MPIGIE KURA MALFRED ALFRED

UJUMBE WA KUTOKA KWA RAFIKI YANGU MALFRED ANAOMBA MPENZI WA BLOG HII UMPIGIE KURA KATIKA KILIMANJARO MUSIC AWARDS Napenda kuwafahamisha marafiki wangu wote na mashabiki wangu kuwa baada ya kuchaguliwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mwanamuziki bora wa Reggae na Ragga katika Tuzo za Kilimanjaro Music Awards kwa mwaka huu 2012 nilifanikiwa kuingia na nyimbo tatu, Katika Category ya RAGGA/DANCEHALL nina nyimbo mbili POYOYO na KUDADADEKI, Na katika Category ya REGGAE nina wimbo MAZINGIRA FT LUTAN FY AH, Ni wakati wangu wakukuomba kura yako kwa hali na mali ukiwa kama Ndugu,Rafiki,Shabiki,na hata adui pia kwani kura yako itaniwezesha kushinda. Ili kuzipigia kura nyimbo zangu KATIKA CATEGORY YA RAGGA/DANCEHAL nenda sehemu ya kuandikia sms katika cm yako andika "M4"kisha tuma kwenda 15747 hapa utakuwa umeipigia kura "KUDADADEKI" na ukiandika "M5"kwenda 15747 hapa utakuwa umeipigia "POYOYO" pia kuna njia nyingin...

HAPPY VALENTINE'S DAY

Image
Real love is not based on romance,Candle light, dinner and walks along the beach.In fact, it is based on Respect, Compromise,Care and Trust...wish all the fans of this blog.......happy Valentine's