Posts

ACCOUNT YA INSTAGRAM YENYE JINA LA JOKATE NI FAKE,SOMA ALICHOKISEMA

Image
Jokate Mwegelo amefunguka kwa Mashabiki wake  kwa kuwapa ukweli kuhusu account ya instagram ambayo inatumia jina lake kwamba si ya kwake ni fake na hana account katika mtandao huo wa kijamii wa Instagram, kuna baadhi ya watu ambao tayari wametapeliwa kupitia account hiyo, haya hapa maneno aliyoandika kupitia fans page yake ya facebook. "Hey loves. Poleni kwa wale waliotapeliwa laki tatu, tatu, simu etc. This is a fake account. I'm not on insta message. I'm so sorry for any inconvenience caused. Waambie na wenzenu please napata wasichana wengi wanalalamika na ahadi hewa zinazotolewa kupitia hiyo account. Bless!!!".  

Mechi Za Leo, UEFA Champions League

Usikose kutizama Mechi za Leo za Kombe la Club Bingwa Ulaya UEFA, na mechi za leo ni kama ifuatavyo :- Tue 26/11/13 Zenit 20 : 00 Atlético Madrid Steaua Bucureşti 22 : 45 Schalke 04 Basel 22 : 45 Chelsea Arsenal 22 : 45 Olympique Mars… Borussia Dortmund 22 : 45 Napoli Porto 22 : 45 Austria Wien Celtic 22 : 45 Milan Ajax 22 : 45 Barcelona

TAARIFA YA ZITTO ZUBERI KABWE (MB) KUHUSU KUVULIWA NAFASI ZA UONGOZI NDANI YA CHAMA CHANGU CHA CHADEMA

1. Utangulizi Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 - 22 Novemba 2013, Kamati Kuu ya CHADEMA, pamoja na mambo mengine, iliazimia kunivua nafasi zangu zote za uongozi ndani ya chama. Kwa mujibu wa taarifa ya chama iliyotolewa katika mkutano na waandishi wa habari siku ya Ijumaa tarehe 22 Novemba 2013, ilielezwa kwamba sababu za kuvuliwa uongozi mimi na Dk Kitila Mkumbo ni uhaini na hujuma kwa chama kutokana na waraka unaojulikana kama mkakati wa uchaguzi 2013. Ukweli ni kwamba waraka uliotajwa si sababu ya mimi kuvuliwa nafasi zangu za uongozi kama ilivyojadiliwa katika Kikao cha Kamati Kuu. Sababu za kufukuzwa kwangu kama zilizojadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu ni tuhuma lukuki ambazo si mara yangu ya kwanza kuzisikia zikijadiliwa ndani na nje ya vikao vya chama. Hitimisho la tuhuma hizi ni kwamba mimi nimekuwa nikikisaliti chama kwa kutumika na CCM na Usalama wa Taifa. Nitazianisha tuhuma hizi na kuzijibu kama ambavyo nimekuwa nikizijibu kat...

The Sixth annual Swahili Fashion Week will take place at Golden Tulip hotel

SIXTH SWAHILI FASHION WEEK LAUNCH PARTY A SUCCESS FASHION AWARDS NOMINEES IN 18 CATEGORIES ANNOUNCED 40 DESIGNERS TO LAUNCH THEIR NEW COLLECTIONS IN DAR PUBLIC ENCOURAGED TO SUPPORT MADE IN TANZANIA INITIATIVES   The Sixth annual Swahili Fashion Week will take place at Golden Tulip hotel from the, 5th to 8th December 2013 in Dar Es Salaam, Tanzania. Swahili Fashion Week 2013 will collectively bring together 40 designers from within Tanzania and beyond to showcase their collection, predicting trend for the East African market for year 2014. “Swahili Fashion week this year is aimed at reaching out to the public to emphasize and promote talents in the fashion industry. It’s more about valuing our own designers and building brands and taking them to a different level year in year out.” Stated Washington Benbella, Swahili Fashion Week Manager The Swahili Fashion Week launch party was held on 16 November at Golden Tulip attended by stakeholde...