ACCOUNT YA INSTAGRAM YENYE JINA LA JOKATE NI FAKE,SOMA ALICHOKISEMA

Jokate Mwegelo amefunguka kwa Mashabiki wake  kwa kuwapa ukweli kuhusu account ya instagram ambayo inatumia jina lake kwamba si ya kwake ni fake na hana account katika mtandao huo wa kijamii wa Instagram, kuna baadhi ya watu ambao tayari wametapeliwa kupitia account hiyo, haya hapa maneno aliyoandika kupitia fans page yake ya facebook.
"Hey loves. Poleni kwa wale waliotapeliwa laki tatu, tatu, simu etc. This is a fake account. I'm not on insta message. I'm so sorry for any inconvenience caused. Waambie na wenzenu please napata wasichana wengi wanalalamika na ahadi hewa zinazotolewa kupitia hiyo account. Bless!!!".
 

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA