Posts

SHEREHE ZA UFUNGUAJI WA MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA‏

Image
Rais Kikwete akiongea na wageni waalikwa. Waziri Membe akisoma muhtasari wa majengo hayo.… Rais Kikwete akiongea na wageni waalikwa. Waziri Membe akisoma muhtasari wa majengo hayo. Sehemu ya Umati . Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na watoto wa wana Jumuiya ya Watanzania waishio Ufaransa. Rais Kikwete akiwa na wageni waalikwa mbalimbali. Rais Kikwete akipiga picha ya pamoja na wageni waalikwa mbalimbali.

KIBONZO: PALE WANAFUNZI WANAPOULIZWA WAZIRI WA ELIMU NI NANI?

Image

GARETH BALE AKATAA KWENDA MAN UNITED

Image
Mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale amepinga madai kwamba huenda akahamia Manchester United. Mchezaji huyo wa Wales alikuwa akihusishwa na uhamisho kuelekea Manchester United huku mlinda lango wa Manchester United David De Gea akitarajiwa kuelekea Real Madrid. ''Sioni nikielekea Manchester United '', Bale aliiambia radio ya Cadena SER. ''Ninafurahia kuwa hapa na tunashinda mataji.Nataka kuendelea kufanya hivyo hapa Real Madrid''. Bale alijiunga na Real Madrid kwa kitita cha pauni millioni 85 mnamo mwezi Septemba mwaka 2013 na kushinda kombe la kilabu bingwa mwaka uliopita. Mchezaji huyo wa zamani wa Tottenham amekuwa akikosolewa na baadhi ya mashabiki wa Madrid na alizomwa baada ya kukataa kumpa pasi Cristiano Ronaldo katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Espanyol. CHANZO:BBC

MTANZANIA JUMANNE TEVEZ AFANYIWA UKATILI AFRIKA KUSINI

Image
Akatwakatwa sehemu za siri, ajeruhiwa vibaya mgongoni, tumboni na kwenye jicho MFANYABIASHARA aliyefahamika kwa jina la Jumanne Tevez, mkazi wa Dar es Salaam, amefanyiwa unyama baada ya kudaiwa kukatwa uume wake na wenzake. Habari za uhakika kutoka chanzo chetu cha habari zilisema kuwa Tevez, amelazwa katika hospitali moja nchini Afrika Kusini akipatiwa matibabu. Chanzo chetu hicho ambacho kipo karibu na familia ya mfanyabiashara huyo, kilieleza kuwa taratibu zinafanywa ili mke wake pamoja na kaka yake waweze kusafiri kwa ajili ya kwenda kumchukua. “Hizo taarifa ni za kweli kabisa na hivi ninavyokuambia mke wake na kaka yake wanatarajia kuondoka kesho ili wakamchukue. Amelazwa katika hospitali moja huko Afrika Kusini na hali yake si mbaya sana. “Yule jamaa kama unavyojua alikuwa mtu wa dili wa muda mrefu, hivyo inawezekana alitofautina na wenzake ndio maana wakamfanyia kitu mbaya, si unajua hawa jama wa poda (dawa za kulevya), humalizana wenyewe tu,”  kilisema chanzo hic...

BINTI ALAZIMISHA KUFANYA MAPENZI NA WATOTO

Image
Na Dustan Shekidele, Morogoro/Ijumaa UKISTAAJABU  ya Musa utayaona ya Firahuni! Binti aliyefahamika kwa jina moja la Afsa (14), anayesoma darasa la 7, ametiwa nguvuni na jeshi la polisi akidaiwa kuwafanyia ukatili na kuwadhalilisha watoto wawili wa kiume (majina kapuni) wa mama yake mkubwa kwa kuwakang’ata nyeti zao akiwalazimisha kufanya nao mapenzi. Binti anayefahamika kwa jina moja la Afsa (14) anayetuhumiwa kuwanyanyasa watoto wadogo. Tukio hilo la kushangaza ambalo lilijaza umati wa watu , lilitokea wiki iliyopita katika mtaa wa Nyerere, Kata ya Mafisa, mkoani hapa. Kamanda wa OFM, Mkoa wa Morogoro akiwa kazini, alipokea taarifa kutoka kwa wananchi wa mtaa huo wakimuomba afike fasta. Bila kuchelewa kamanda alitia timu na kukutana na akina mama wawili ambao walishusha ‘vesi’ za tukio hilo: Binti huyo akiwa chini ya ulinzi, wa pili kulia ni mmoja wa watoto walionyanyaswa na binti huyo. “Sisi ni wakazi wa mtaa huu wa Nyerere ambao tunaishi na Mama Mese mwenye watoto waw...

WANASWA WAKIFANYA MAPENZI KITUO CHA POLISI

Image
Stori: Issa Mnally na Deogratius Mongela/Ijumaa AMA  kweli binadamu siyo waoga! Watu wawili ambao majina yao hayakupatikana mara moja, waliamua kujitoa fahamu na kuamua kufanya mapenzi ndani ya gari nje ya Kituo cha Polisi cha Alimaua kilichopo Kata ya Kijitonyama jijini Dar, OFM wanakumegea mkanda mzima. Watu hao wakiendelea kufanya mambo yao. Tukio hilo la aina yake lilinaswa saa nane usiku wa Jumatano wakati kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kikiwa kazini kusaka matukio mbalimbali ya usiku mnene. Ilikuwaje? Awali, baadhi ya watu waliokuwa wakitoka kuangalia mechi ya Kombe la Capital One kati ya Chelsea na Liverpool nchini Uingereza waliwaona wawili hao wakipaki gari eneo hilo la polisi kana kwamba walikuwa na shida muhimu ya kiusalama kama si kisheria. Kituo hicho kilikuwa kimefungwa! Tofauti na matarajio ya mashuhuda hao, gari hilo aina ya Toyota Mark II (namba za usajili tunazo) lilizimwa taa za ndani na kuachwa ikiunguruma kisha watu hao ambao haikufah...

AMCHINJA MPENZI WAKE MPAKA KUFA KISA WIVU WA MAPENZI

Image
Mwili wa Msichana anaedaiwa kuchinjwa na mpenzi wake leo jioni maeneo ya Manzese Friends Corner ukitolewa katika eneo la tukio Kijana anaetuhumiwa kumchinja mpenzi wake sababu ya wivu wa mapenzi akiwa amepandishwa katika gari la Polisi akipelekwa kituoni huku akitokwa na damu shingoni baada ya kujaribu kujiua kwa kutumia kisu.Picha na  (Awadh Ibrahim wa Mjengwa Blog/Kwanza jamii radio)