Posts

WHITE PARTY KURUSHWA LIVE KUTOKA MLIMANI CITY 1.5.2O15 KUPITIA MTANDAONI..ANGALIA NAMNA YA KUIONA HAPA

Image
Najua wengi tungependa kushuhudia Tukio zima la Zari All white party na naamini sio wote tunaweza kulipia elf 50.. Hivyo basi waweza tazama tukio zima la Zari All White Party Live Kabisa kwa Shilingi Elf tatu tu! ukiwa Nyumbani, Ofisini Ama Popote, kwa njia ya Simu yako ama Computer.... Haya ni maelekezo kwa watu waishio Tanzania kwanza kisha ntakuja kuwapa maelekezo ya watu wa Nje ya nchi ya Tanzania ni namna gani wanaweza kununua Link hii waweze kutazama! Jinsi ya kutum a malipo kwa simu 1. Piga *150*01# kwa TigoPesa, *150*00# kwa MPESA au *150*60# kwa AirtelMoney 2. Nenda namba 4 “Malipo” MPESA, “Lipa kwa MPESA” kwa TIGOPESA au“LipiaBili” kwa AirtelMoney 3. Chagua Namba ya Kampuni kwa MPESA na Tigopesa. Kwa AirtelMoney nenda kipengele “Nyinginezo” 4. Ingiza namba ya kampuni ambayo ni 213040 5. Ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo ZARI AU ZWP 6. Ingiza kiasi cha TSH 3,000 7. Ingiza namba ya siri 8. Hakiki. 9. Utapokea ujumbe kwa sms ikiwa na code ya kuweka kwenye t...

ORODHA YA MAJINA YA AJIRA MPYA YA WALIMU 2015

Image
Taarifa ya ajira mpya ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Bofya linki zifuatazo kupakua makabrasha yenye orodha ya majina: Ajira za Walimu wa Cheti (Shule za Msingi) 2015. Ajira za Walimu wa Sayansi wa Shahada na Stashahada kwa Mwaka 2015. Ajira za Walimu wa Masomo ya Sanaa na Biashara Ngazi ya Shahada na Stashahada. Au kutumia linki za JamiiForums kwa uharaka zaidi. Attachment 247268 Attachment 247281 Attachment 247267

SOMA VICHWA VYA HABARI KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMANNE, APRIL 28

Image

EVERTON 3-0 MANCHESTER UNITED

Image
    Kevin Mirallas akiifungia Everton bao la tatu dhidi ya Manchester United.   James McCarthy (kushoto) akishangilia na Romelu Lukaku  baada ya kuifungia Everton bao la kwanza.   John Stonesakiifungia Everton bao la pilikwa kichwa. Everton wametoka kifua mbele kwa mabao 3-0 dhidi ya Manchester United katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyopigwa kwenye Uwanja wa Goodison Park. Mabao ya Everton yamefungwa na J.McCarthy dakika ya 5 na J. Stones dakika ya 35 ya kipindi cha kwanza na  K. Mirallas dakika ya 74 kipindi cha pili. Vikosi:   Everton: Howard, Baines, Stones, Jagielka, Coleman, Barry, McCarthy, Osman, Barkley, Lennon, Lukaku Everton walio benchi:  Joel, Kone, Mirallas, Naismith, Besic, Garbutt, Alcaraz Manchester United:  De Gea, Valencia, Smalling, McNair, Shaw, Blind, Herrera, Mata, Fellaini, Young, Rooney  Man Utd walio benchi:  Valdes, Di Maria, Falcao, Januzaj, Van Persie, Blackett, Pereira

MAGAZETI YA LEO JUMATATU

Image