EVERTON 3-0 MANCHESTER UNITED

  
Kevin Mirallas akiifungia Everton bao la tatu dhidi ya Manchester United.
 
James McCarthy (kushoto) akishangilia na Romelu Lukaku  baada ya kuifungia Everton bao la kwanza.
 
John Stonesakiifungia Everton bao la pilikwa kichwa.
Everton wametoka kifua mbele kwa mabao 3-0 dhidi ya Manchester United katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyopigwa kwenye Uwanja wa Goodison Park.
Mabao ya Everton yamefungwa na J.McCarthy dakika ya 5 na J. Stones dakika ya 35 ya kipindi cha kwanza na 
K. Mirallas dakika ya 74 kipindi cha pili.
Vikosi: 
Everton: Howard, Baines, Stones, Jagielka, Coleman, Barry, McCarthy, Osman, Barkley, Lennon, Lukaku
Everton walio benchi: Joel, Kone, Mirallas, Naismith, Besic, Garbutt, Alcaraz
Manchester United: De Gea, Valencia, Smalling, McNair, Shaw, Blind, Herrera, Mata, Fellaini, Young, Rooney 
Man Utd walio benchi: Valdes, Di Maria, Falcao, Januzaj, Van Persie, Blackett, Pereira

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA