WHITE PARTY KURUSHWA LIVE KUTOKA MLIMANI CITY 1.5.2O15 KUPITIA MTANDAONI..ANGALIA NAMNA YA KUIONA HAPA
Najua wengi tungependa kushuhudia Tukio zima la Zari All white party na naamini sio wote tunaweza kulipia elf 50.. Hivyo basi waweza tazama tukio zima la Zari All White Party Live Kabisa kwa Shilingi Elf tatu tu! ukiwa Nyumbani, Ofisini Ama Popote, kwa njia ya Simu yako ama Computer.... Haya ni maelekezo kwa watu waishio Tanzania kwanza kisha ntakuja kuwapa maelekezo ya watu wa Nje ya nchi ya Tanzania ni namna gani wanaweza kununua Link hii waweze kutazama! Jinsi ya kutum a malipo kwa simu 1. Piga *150*01# kwa TigoPesa, *150*00# kwa MPESA au *150*60# kwa AirtelMoney 2. Nenda namba 4 “Malipo” MPESA, “Lipa kwa MPESA” kwa TIGOPESA au“LipiaBili” kwa AirtelMoney 3. Chagua Namba ya Kampuni kwa MPESA na Tigopesa. Kwa AirtelMoney nenda kipengele “Nyinginezo” 4. Ingiza namba ya kampuni ambayo ni 213040 5. Ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo ZARI AU ZWP 6. Ingiza kiasi cha TSH 3,000 7. Ingiza namba ya siri 8. Hakiki. 9. Utapokea ujumbe kwa sms ikiwa na code ya kuweka kwenye t...