Posts

Taarifa ya habari ChannelTEN, Aprili 28, 2016

Image
Email This   BlogThis!   Share to Twitter   Share to Facebook  

DC KINONDONI AANZA MAPAMBANO DHIDI YA WATUMISHI HEWA

Image
DC wa Kinondoni Salum Hapi akizungumza leo ofisni kwake NA BASHIR NKOROMO Mkuu wa Wilaya a Kinondoni, Dar es Salaam,  Salum Hapi amesema, Serikali katika wilaya hiyo imebaini kuwa  imepoteza zaidi ya sh. bilioni 1.331 kwa kuwalipa wafanyakazi hewa wapatao 89.hadi sasa. Amesema, baada ya kuapishwa kuwa mkuu wa wilaya hiyo siku saba zilizopita, amesimamia maofisa wake kufanya uchunguzi na kubaini kuwa pamoja na wafanyakazi hao hewa ambao wameisababishia serikali kupoteza sh. 1, 331, 734, 881 pia wapo watumishi vivuli wapatao 8823 ambao wanalipwa mishahara wakati  hawafanyi kazi katika maeneo husika kutokana na sababu mbalimbali. Hapi amesema wafanyakazi hao vivuli ni pamoja na waliohamia idara nyingine lakini wakati wanalipwa huko walikokwenda bado wanalipwa katika idara walizokuwepo mwanzo na kwamba wengi wao wapo katika Idara ya Elimu. Akzungumza na waandshi wa habari Ofisini kwake, leo, Hapi amesema, amebaini hatua hiyo baada...

TIGO, MGAHAWA WA SAMAKI SAMAKI WAINGIA UBIA

Image
Meneja wa Huduma za Masoko Tigo, Olivier Prentout (kushoto) akiongea na wanahabari wakati wa kusaini mkataba wa ushirikiano wa kibiashara kati ya kampuni ya simu za mkononi ya Tigo na Mgahawa wa Samaki samaki. Kulia ni Afisa Mkuu wa Maendeleo wa Mgahawa Samaki samaki, Saum Wengert. Meneja wa Huduma za Masoko wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, Olivier Prentout (kushoto) akiwa na Afisa Mkuu wa Maendeleo wa Mgahawa wa Samaki samaki, Saum Wengert wakionyesha mkataba wa ushirikiano wa kibiashara waliosaini kati ya kampuni ya Tigo na Mgahawa huo kwa waandishi wa habari jana jijini Dar Es salaam.  Kampuni ya simu inayoongoza kwa mtindo wa maisha ya kidijitali ya Tigo Tanzania, leo imeingia   ubia na mgahawa ya Samaki Samaki  ambao ilianzishwa tangu  mwaka 2007  ukiwa na matawi matatu  yaliyopo Mlimani City, City Centre na Masaki Jijini Dar es salaam,  ambapo pande hizo mbili zimekubaliana kufanya kazi pamoja  kwa kuleta  bidhaa...

MAGAZETI YA LEO IJUMAA, APRIL 29

Image

MAGAZETI YA ALHAMIS, APRIL 28

Image