Posts

Madaktari Bingwa waendelea kuwahudumia wananchi Singida

Image
Baadhi ya wakazi wa Iramba waliojitokeza siku ya siku ya kwanza ya huduma tembezi za kibingwa. Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew J. Mtigumwe akihutubiwa wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma tembezi za madaktari bingwa Mkoani Singida. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida John Mwombeki akisoma taarifa ya hali ya afya Mkoa wa Singida wakati wa uzinduzi wa huduma tembezi za kibingwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Macho akimhudumia mteja siku ya kwanza ya huduma tembezi za kibingwa. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Meno akimhudumia mteja siku ya kwanza ya huduma tembezi za kibingwa. Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew J. Mtigumwe amezindua rasmi huduma tembezi za madaktari bingwa Mkoani Singida, na kuwasihi wananchi Mkoani Singida kujitokeza kwa wingi kupata huduma hizo za kibingwa.  Huduma hizo za kibingwa zilizozinduliwa Wilayani Iramba katika hospitali ya Kiomboi zitahusisha huduma za kibingwa za upasuaji, meno, macho, upasuaji wa mif...

Muhimbili Yafanikisha Upasuaji Mfumo wa Njia ya Mkojo kwa Watoto Pacha

Image
Daktari bingwa wa upasuaji wa watoto katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH, Dk Victor Ngotta (kushoto) akimfanyia upasuaji Eliudi jana kwa kushirikiana na Profesa Saber Waheeb (katikati) na Dk Mohamed Malak kutoka Misri (kulia). Dk Mohamed Malak, Profesa Saber Waheeb kutoka Misri na Dk Victor Ngotta wakiendelea na upasuaji jana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Daktari Bingwa Watoto wa Upasuaji, Dk Zaituni Bokhary akizungumza jambo baada ya kumfanyia upasuaji mtoto Elikana aliyekuwa na tatizo la mfumo wa njia ya mkojo jana. Dk Bingwa wa Upasuaji, Dk Yona Ringo akiwa ofisini baada ya kumfanyia upasuaji mtoto Elikana ambaye alikuwa na tatizo la mfumo wa njia ya mkojo jana. Na John Stephen MNH Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jana imefanikisha kuwafanyia upasuaji watoto pacha ambao walikuwa wana tatizo katika njia mkojo. Watoto hao wametoka katika chumba cha upasuaji salama na sasa wanaendelea vizuri baada ya kurejeshwa...

Magazeti ya Leo Ijumaa

Image

ZAIDI YA WATU 40000 WANASHIKILIWA UTURUKI

Image
Waziri Mkuu wa Uturuki Binali Yildirim Waziri Mkuu wa Uturuki, amesema zaidi ya watu 40,000 wanashikiliwa na Polisi wakihusishwa na jaribio la kuipindua Serikali ya nchi hiyo. Katika hotuba yake ya moja kwa moja katika Televisheni, Binali Yildirim pia alisema takriban wafanyakazi wa sekta ya Umma 80,000 wamefutwa kazi wakiwemo wanajeshi,Polisi na watumishi wa Umma. Maelfu ya Taasisi yameshukiwa kuwa na mahusiano na Kiongozi wa kidini, Fethullah Gulen zimefungwa. Serikali ya Uturuki imemshutumu Gulen, ambaye anaishi uhamishoni nchini Marekani kwa kusuka mipango ya mapinduzi . Awali, Serikali ya Uturuki ilisema itawaachia huru watu 30,000 ili kupunguza mrundikano kwenye magereza. BBC

Kurasa za mbele na nyuma za baadhi ya magazeti ya Tanzania leo Agosti 18, 2016

Image

Pres. (ret.) Kikwete joins Harvard Ministerial Leadership Program Advisory Board

Image
Jakaya Kikwete His Excellency President Jakaya Kikwete, who served two terms as President of the United Republic of Tanzania from 2005 to 2015, will be joining the Harvard Ministerial Leadership Program Advisory Board.  In his more than 30 years of public service, President Kikwete served in different party, military and government positions.  He joined the Cabinet in 1988 and he held several ministerial portfolios including Minister for Finance, Minister for Water, Energy and Mineral Resources and Minister for Foreign Affairs and International Cooperation.  He was the longest serving Foreign Minister in the history of Tanzania after serving that position for a ten year tenure.  President Kikwete’s experience both as a head of state and as a cabinet member will be a great resource for the Advisory Board as it continues to help shape and guide development of the Program. Info. source:  ministerialleadership.harvard.edu

Kurasa za mbele na nyuma za baadhi ya magazeti ya Tanzania leo Agosti 17, 2016

Image