Posts

NDEGE YA PILI YA BOMBARDIER Q-400 YAWASILI JIJINI DAR

Image
Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ikitua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani. Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ikipata Saluti ya maji (Water Canon Salutation) mara tu baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika  Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani. Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ikiegeshwa karibu na pacha wake iliyofika wiki moja uliopita  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius...

YALIOTAWALA KWENYE MAGAZETI YA LEO SEPT. 26

Image

If you live in UK you now can transfer money to E. Africa, no fee, using Wave

Image
Wave , a New York-based money transfer firm, has expanded its M-Pesa-linked diaspora remittance services to the United Kingdom. This means that East Africans living in the UK can now use the  Wave app  to send money directly to Safaricom’s M-Pesa wallets, as well as to Uganda and Ethiopia through MTN mobile money. They can also send to Tanzania’s M-Pesa. Wave , launched in May 2014, was previously only available in the US and Canada. Remittance inflows from Europe, mostly the UK, accounted for nearly a third of the $559 million (Sh55.9 billion) Kenyans sent back home in the five months to May this year. Drew Durbin, Wave co-founder and chief executive, said the money transfer firm is banking on the fact that it does not charge any commission to send cash to win market share. “Wave now supports instant transfers from United Kingdom debit cards to Kenya, Uganda, Tanzania and Ethiopia,” Mr Durbin said in a statement. “The rest of Europe is coming soon,” he said without offe...

POLISI MAREKANI YAMKAMATA MSHUKIWA WA SHAMBULIO

Image
Shambulio la bomu Marekani Mtu aliyekuwa akitafutwa kuhusiana na mashambulio ya mabomu katika miji ya New York na New Jersey amekamatwa baada ya kushambuliana na polisi kwa risasi. Ahmed Khan Rahami, mwenye umri wa miaka 28 ni raia wa Marekani mwenye asili ya Afghan. Alijeruhiwa katika mapambano hayo yaliyosababishwa kukamatwa kwake karibu na nyumba yake kwenye mji wa New Jersey. Katika operesheni ya kumkamata mtuhumiwa huyo polisi wawili pia walijeruhiwa. Meya wa mji wa New York, Bill de Blasio amesema kuna kila sababu kuamini kwamba shambulio hilo lilikuwa ni ugaidi. Kwa upande wake Rais Barack Obama amewataka watu kuwa watulivu na kuongeza kuwa kila mtu ana mchango katika kuondoa hali hiyo.  BBC

Kujitoa katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii - Mambo 10 muhimu kuyaelewa

Image
Kujitoa katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ni sawa na Mkulima kula Mbegu Mambo 10 muhimu kuyaelewa kuhusu Hifadhi ya Jamii Upo mjadala unaoendelea na kufukuta kuhusu uamuzi wa Serikali kupeleka Muswada wa Sheria Bungeni kufanya marekebisho katika Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Muswada huo sijauona na haujawekwa hadharani. Hata hivyo, lililopenyezeka katika vyombo vya habari ni taarifa ya azma hiyo ya Serikali iliyotamkwa katika kikao cha Serikali na wadau kuwa Muswada huo utafuta FAO LA KUJITOA. Nimefuatilia mjadala huo na kuisoma barua ya wazi ya vyama vya wafanyakazi kwa umma ikilaani vikali nia hiyo ya Serikali na muswada. Nikasikia na kusoma tena kauli mbalimbali za Serikali na Mamlaka ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kuhusu azma hiyo na mambo mengine mengi yanayoambatana na muswada unaondaliwa. Kwa maelezo hayo, muswada huo una mambo mengi zaidi ya kinachoitwa fao la kujitoa. Aidha, maelezo yao ni kuwa muswada wenyewe haujakamilika isipokuwa ni hatua ya maoni t...

Diamond Platnumz ft Rayvanny Salome ( Traditional Official Music video)

Image

SERENGETI BOYS YAIFUNGA CONGO BRAZAVILLE MAGOLI 3-2 UWANJA WA TAIFA

Image
Mchezaji wa Timu ya Serengeti Boys Mohamed Rashid Abdalla akikokota mpira mbele ya wachezaji wa timu ya taifa ya Congo Brazaville katika mchezo wa kuwani kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana liofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, mpira umekwisha timu ya Serengeti Boys imeshinda  magoli 3-1 dhidi ya Congo Brazaville yaliyofungwa na mchezaji Yohana Mkomola katika dakika za 40 na 42. goli la tatu la Serengeti Boys limefungwa na Issa Makamba aliyeingia kipindi cha pili huku Congo Brazaville wakipata magoli mawili. Mchezaji wa timu ya Serengeti Boys Israel Mwenda akiruka juu juu na mchezaji wa Congo Brazaville Moundza Prince wakati mchezo huo ukiendelea kwenye uwanja wa Taifa jioni hii. Kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys. Kikosi cha Timu ya Taifa ya  Congo Brazaville  Viongozi mbalimbali wakiwa katika jukwaa kuu wakiimba wimbo wa Taifa. Timu zote zikiingia uwanjani tayari kwa kuza kwa mpambano huo. ...