SERENGETI BOYS YAIFUNGA CONGO BRAZAVILLE MAGOLI 3-2 UWANJA WA TAIFA

1
Mchezaji wa Timu ya Serengeti Boys Mohamed Rashid Abdalla akikokota mpira mbele ya wachezaji wa timu ya taifa ya Congo Brazaville katika mchezo wa kuwani kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana liofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, mpira umekwisha timu ya Serengeti Boys imeshinda  magoli 3-1 dhidi ya Congo Brazaville yaliyofungwa na mchezaji Yohana Mkomola katika dakika za 40 na 42. goli la tatu la Serengeti Boys limefungwa na Issa Makamba aliyeingia kipindi cha pili huku Congo Brazaville wakipata magoli mawili.
2
Mchezaji wa timu ya Serengeti Boys Israel Mwenda akiruka juu juu na mchezaji wa Congo Brazaville Moundza Prince wakati mchezo huo ukiendelea kwenye uwanja wa Taifa jioni hii.
3
Kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana Serengeti Boys.
4
Kikosi cha Timu ya Taifa ya  Congo Brazaville 
5
Viongozi mbalimbali wakiwa katika jukwaa kuu wakiimba wimbo wa Taifa.
6
Timu zote zikiingia uwanjani tayari kwa kuza kwa mpambano huo.
8
Waamuzi wa mchezo huo wakiongoza vikosi vya  Timu ya Serengeti Boys na Congo Brazaville kuingia uwanjani tayari kwa mchezo huo.
9
Kikundi cha ushangiliaji cha timu ya taifa ya vijana Serengeti Boys.
10 
11
Mashabiki wakishangilia kwa nguvu mara baada ya Serengeti Boys kupata magoli katika kipindi cha kwanza. (P.T)

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA