Posts

MDAU NAWE TOA COMMENTS ZAKO

Image
Katika pita pita zangu kwenye mtandao wa kijamii facebook nikakutana na status ya rafiki yangu Augustino Masangia Tinorito Masangia HELP: haya watoto wa olympio, watoto mliopanda "school bus", dady im going, watoto wa wataalam wa Lugha na hata ndugu zangu wa HKL "tho mlisoma englis mmesha komaa" hahahahha kidn naombeni msaada hapa: SWALI: "HUYU NI MTOTO WAKO WANGAPI" weka hii sentensi kwa kingereza. Tuni Biboze Huyuz niz mtotoz wakoz wangapiz? Nimepatia ama? Yesterday at 11:28 · Like Unlike · 3 people 3 people like this. Sarah Samson Du bora umeokoa jahazi,maana m2 mzima nimechemka@Tuni Yesterday at 11:31 · Like Unlike Tuni Biboze Whahahahahahahahahah sante@Sarah Yesterday at 11:34 · Like Unlike Qal Bin Nayeer Hahahah ennglish rythm daznt match na kiswahili kuna jinsi tofauti ya kuuliza ila hahahah hili swali lilinishinda toka niko o level Yesterday at 11:39 · Like Unlike Johnie Mathew Kibassa ‎"What line born is this child? "

MUSOMA WALIVYOKICHAFUA KWENYE FIESTA

Image
SERENGETI FIESTA 2011 MUSOMA Picha na: Ahmad Issa Michuzi