MDAU NAWE TOA COMMENTS ZAKO

Katika pita pita zangu kwenye mtandao wa kijamii facebook nikakutana na status ya rafiki yangu Augustino Masangia


Tinorito Masangia
HELP: haya watoto wa olympio, watoto mliopanda "school bus", dady im going, watoto wa wataalam wa Lugha na hata ndugu zangu wa HKL "tho mlisoma englis mmesha komaa" hahahahha kidn naombeni msaada hapa:
SWALI: "HUYU NI MTOTO WAKO WANGAPI" weka hii sentensi kwa kingereza.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA