Posts

Download Nyimbo mpya ya bi.cheka na ya Godzilla

Download  nyimbo hiyo hapa Godzilla ft Joti- la kuchumpaaa download pia hapa Sajna-Mbalamwezi pia unaweza kudownload

HIVI NDIVYO MASTAA WALIVYONG'ARA USIKU WA GRAMMYS AWARDS

Image
       Who look gorgeous between Rihanna v/s Kelly Rick Ross brought his rainbow v-neck swag to the Grammy red carpet Tyga and Birdman got their lil shine too…

KATUNI YA LEO........

Image
 

ZAMBIA WASHINDI WA FINAL ZA AFRICA CUP OF NATIONS.

Image
    PICHA MBALIMBALI ZIKIONYESHA MATUKIO WAKATI WA MECHI NA BAADA YA USHINDI WA ZAMBIA   Zambia imechukua ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2012 baada ya kuwafunga Ivory Coast kwa mikwaju ya penati 7-8. Mchezo huo ulimaliza dakika 90 za kawaida, kabla ya kwenda muda wa ziada, na hadi katika mikwaju ya penati. Awali nahodha wa Ivory Coast, Didier Drogba alikosa penati ambayo ingeipa ushindi kabla ya kumalizika kwa dakika 90 za kawaida. Ivory Coast wamekosa penati 2 kati ya walizopiga ambapo Kolo Toure na Gervinho walikosa mikwaju hiyo. Ivory Coast wataendelea kusubiri kunyakua kombe hilo, licha ya kuwa na wachezaji kadhaa wanaocheza Ulaya hasa katika Ligi Kuu ya England. Tembo wa Ivory Coast walipoteza katika mchezo wa fainali mwaka 2006 dhidi ya Misri kwa mikwaju ya penati. Lakini kwa Chipolopolo, ambao wamewahi kushika nafasi ya pili mara mbili, wamemaliza kwa ushindi kwa kuhanikizwa na vifo vya wachezaji wenzao mwaka 1993, baada ya

CELEBRITIES ON WEEKEND

Image
SPENDING TIME WITH HIS FAMILY  SHOPPING  HEALTH CHECK-UP  TIME WITH FAMILY BUSINESS MEETING

ALICHOKISEMA FID Q TZ HipHop!

Image
Fid Q. Miaka 11 ya “FidQ.com” Kitu chochote kile kinaweza kuchukuliwa kama kazi ya sanaa, ila inategemea mtazamo wa hadhira ukoje juu ya kitu au kazi husika. Kwa upande mwingine, historia — hasa za jamii au vikundi vya jamii vilivyokuwa na vinavyoendelea kukandamizwa kwa namna moja au nyingine — husema vingine. Sanaa imekuwa ni mojawapo ya zana zinazotumiwa kufungua macho na fikra za watu kwenye jamii mbalimbali, katika vipindi tofauti. Mfano mzuri ni ndugu zetu wa Afrika Kusini. Wakati wa utawala wa kibaguzi (herufi ndogo zimetumiwa kwa makusudi), watu waliokuwa wanaangaliwa kama viongozi walikuwa hawaruhusiwi kukutana au kuongea na mtu zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Lakini harakati zao hazikugota; waligeukia sanaa — wakatumia kazi za sanaa kuamsha watu. Kwa hapa nyumbani, historia sio tofauti sana. Wazazi wetu waliokuwa kwenye harakati za kuusaka Uhuru walitumia mpaka ngonjera za mashuleni kuwasilisha sera za TANU, ASP na vyama vingine vya siasa. Kiz

*R.I.P* Whitney Houston Dead At 48

Image
This one just hit us like a rock! Whitney Houston died this afternoon (USA)HRS… a rep for the singer told the Associated Press. Houston won two Emmy Awards, six Grammy Awards, 30 Billboard Music Awards, 22 American Music Awards during her record-breaking career. Her album “Whitney” was the first female album to ever debut at #1 on the Billboard Charts. She has sold 200 albums world wide. Houston holds an Honorary Doctorate in Humanities from Grambling State University in Louisiana. Houston had one child, Bobbi Kristina, with husband Bobby Brown. Houston and Brown were married from 1992-2007. Paramedics were called to the Beverly Hilton today when Houston was found unresponsive in her hotel room … sources tell TMZ. We’re told police arrived to the scene within minutes and fire was already there on another call. According to our sources, paramedics performed CPR but it did not work and she was pronounced dead at 3:55 PM. Our sources say there were to signs of foul