Posts

ALBUM YA GRACE MATATA 'NYAKATI' YAINGIA SOKONI KIDIGITAL ZAIDI.

Image
Mwana dada aliewahi kutoka na one hit "free soul"  na kupumzikia kwa ajili ya kujifungua mtoto wake wa kwanza,  Grace Matata, amerudi tena kwa kukudondoshea pini za  hatari na safari hii, amekamilisha ndoto yake ya kukamilisha  album yake kya kwanza aliyoipa jina la "NYAKATI", na katika  kuhakikisha kila mmoja wetu anajipatia copy yake kwa  urahisi, ameamua kukurahisishia na unaweza kupata album hiyo kupitia email na whatsapp kwa kutuma NYAKATI  kwenda  nyakatialbum@gmail.com  , ama kwa maelezo  zaidi piga +255 773 13 00 11....unaweza kupitia picha hiyo  hapo juu kwa maelezo zaidi...sapoti yako  ni muhimu kwa mziki wetu kukua

HATIMAYE KENYATTA AWA RAIS WA KENYA

Image
Uhuru Kenyatta apata zaidi ya asilimia hamsini ya kura zilizopigwa katika uchaguzi mkuu wa kihistoria Kenya kwa kupata kura 6,173,433. Idadi hii imempa ushindi wa asilimia hamsini nukta sufuri tatu na alimshinda mpinzani wake Raila odinga kwa kura 832 897. Hata hivyo tume ya uchaguzi itatatangaza matokeo rasmi badaye leo.

Kibanda ateswa kama Ulimboka

MHARIRI Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Rai, Mtanzania, Dimba na Bingwa, Absalom Kibanda, amenusurika kifo baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake kisha kupigwa na kujeruhiwa vibaya. Kibanda ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) alipigwa na kitu kizito chenye ncha kali kichwani, kutobolewa jicho la kushoto, kung’olewa ukucha wa kidole cha mkono na meno. Tukio hilo linakuja ikiwa ni miezi takriban tisa tangu kutekwa, kuteswa, kuumizwa vibaya, kung’olewa meno na kucha na kisha kutelekezwa msituni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Stephen Ulimboka, usiku wa Juni 26, mwaka jana. Tangu kutokea kwa tukio la Dk. Ulimboka ambalo linafanana kabisa na hili la Kibanda, Jeshi la Polisi nchini limekuwa likitupiana mpira katika kueleza hatua zilizofikiwa kuwasaka watuhumiwa waliohusika. Pamoja na mtuhumiwa mmoja anayedaiwa kuwa raia wa Kenya, Joshua Mulundi, kufikishwa mahakamani akidaiw

Padri Kitima na maajabu ya SAUT

PADRI Charles Kitima alipoteuliwa kuwa makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Mt Agustino (SAUT), Mwanza mwaka 2004, hakuna aliyekuwa na wazo kwamba miaka kumi ya uongozi wake angeweza kufanya maajabu ya kukifanya chuo hicho kuwa hivi kilivyo. Akishika nafasi ya mtangulizi wake, Padri Kamugisha, aliamini kuwa amepewa kazi kubwa na nzito katika taifa. Nayo ni kupigana na moja ya maadui wakubwa ‘ujinga’. Hivyo, aliazimia kutumia nguvu, akili, maarifa na wakati mwingine kuteseka kwa ajili ya maendeleo ya chuo hicho. Kasi yake ndiyo inayowashangaza wengi ndani ya kanisa na nchi kwa ujumla, ambapo atakapokabidhi madaraka kwa mwenzake Julai mwaka huu, Padri Kitima anaicha SAUT ikiwa ndicho chuo kikuu pekee nchini chenye idadi kubwa ya wanafunzi, matawi mengi na maendeleo ya kuridhisha. Chuo Kikuu cha SAUT kilianzishwa rasmi mwaka 1998 ikiwa ni mafanikio ya kilichokuwa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Nyegezi (Nyegezi Social Training Institute) kilichoanzishwa tangu mwaka 1960 na Wamisionari w

VICHWA VYA MAGAZETI VYA LEO

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

HON. SAADA M. SALUM (MP), DEPUTY MINISTER FOR FINANCE DURING LAUNCHING CEREMONY OF ACCESS BANK (T) MWANZA BRANCH

Image
wa Fedha Mhe. Saada M. Salum akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Benki pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Benki Access.Kutoka kulia Bw.Prosper Gwemela ambaye ni Meneja wa Benki ya Access Tawi la Mwanza,akifuatiwa na Bw. Roland Coulon Mtendaji Mkuu wa Benki ya Access,anayefuata ni Grace Rubambey Mjumbe wa Bodi ya Benki ya Access,akifuatiwa na Jaji Justice Mihayo ambaye nay eye ni mjumbe wa Bodi wa Benki hiyo ya Access.Kutoka kushoto ni Bw. Ophoro Lokey ambaye ni Mkuu wa kitengo cha miundo mbinu ya Benki akifuatiwa na Afisa yawala wa Mkoa ambaye amefuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mwanza Bw. Nyamagama.Na nyuma ni Wananchi wa Mkoa wa Mwanza. Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Saada M. Salum akikata utepe kuashiria kufunguliwa kwa Benki ya Access Tawi la Mwanza. STATEMENT BY HON. SAADA M. SALUM (MP), DEPUTY MINISTER FOR FINANCE DURING LAUNCHING CEREMONY OF ACCESS BANK (T) MWANZA BRANCH Hon Justice Thomas Mihayo, ACCES Bank Board Member; Mr. Roland Coulon, CEO; Mr. Prosper William,

Kenya: Woman, 72 y/o collapses and die at a polling station in Murang’a

 A 72 year old woman who was lining up to vote at Kaganda Primary School polling center in Kiharu constituency, Murang’a County has collapsed and died as she waited for her turn to vote. The woman is said to have been accompanied by other elderly women and were not allowed to vote first as it is the case in several other polling stations across the country. Apparently elderly people, the sick, pregnant mothers and also women or men accompanied by children under the age of three are given first priority to vote but that is not the case at the polling station. According to reports the woman was ailing and had complained of feeling unwell due to the scotching sun but her pleas fell on deaf ears. The woman was rushed to Murang’a General Hospital but confirmed dead on arrival. via  Kenyan Daily Post Source: wavuti

Natumai nitashinda uchaguzi ujao - Mugabe

  Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amesema kwamba ana matumaini ya kushinda katika uchaguzi ujao wa nchi hiyo. Akizungumza hapo jana mjini Harare katika sherehe yake ya kuadhimisha kuzaliwa kwake ambapo amefikisha miaka 89 Mugabe amesema, anaamini atamshinda hasimu wake katika uchaguzi ujao wa rais uliopangwa kufanyika baadaye mwaka huu na kubakia  madarakani kwa miaka mingine mitano. Aidha rais huyo mkongwe wa Zimbabwe amewatuhumu wapinzani wake kuwa, wanakusudia kuzusha machafuko ya kisiasa nchini humo kwa lengo la kumfanya ashindwe kwenye uchaguzi ujao.  Hivi karibuni Mugabe alitangaza kushiriki kwa mara ya sita katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo ambayo ameiongoza kwa zaidi ya miaka 33. via Radio Teheran Source: http:/ wavuti

HAPPY BIRTHDAY NIKKI MBISHI

Image
Leo ni birthday ya yule yule Mbishi wa Mic katika Freestyle na kugani Nicas John aka Nikki Mbishi, Baba Malcom na a.k.a Nyingi

CHANGAMKIA FULSA ZA KIUCHUMI

Hii ni nafasi kwako mwanafunzi au mtu yoyote ambaye unataka kujiongezea kipato kwa kufanya kazi online na sio kupoteza muda mwingi ukiwa unachat tu ni rahisi sana click hii link http://naturalpay.com/ ?ref=nyanja   then jiunge the way utakavyounganisha watu wengi ndivyo utakapojiweka katika nafasi nzuri kabisa ya kuchukua fedha nyingi,na fedha yenyewe inatumwa kwa njia ya western Union ikiwa katika mfumo wa dola za kimarekani.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 1/3

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .