Posts

HARUSI TRADE FAIR KUFANYIKA TAREHE 21-23 MARCH

Image

KUTOKA KWA MH. MNYIKA ANATUKUMBUSHA KUWA LEO NDIO MWISHO; OMBA UWAKILISHI KWENYE MABARAZA YA KATIBA SASA

Leo tarehe 20 Machi 2013 ni siku ya mwisho ya wananchi kuwasilisha maombi ya kuwa wajumbe wa mabaraza ya katiba ya ngazi ya wilaya ambayo yana wajibu muhimu wa kupitia rasimu ya katiba na kutoa maoni iwapo imezingatia maoni ya wananchi yaliyokunywa katika hatua ya wananchi binafsi na makundi mbalimbali katika jamii. Nawakumbusha ambao bado hamjawasilisha maombi na mna dhamira ya kutimiza wajibu huu wa kiraia na kikatiba kwa kuwasilisha barua ya maombi kwa watendaji wa mitaa/vijiji.  Kuna nafasi nane kwa kila mtaa kwa Dar es salaam, nne kwa maeneo mengine ya Tanzania Bara katika makundi yafuatayo; mwanamke, kijana, mtu mzima na mtu mwingine yoyote: kwa Zanzibar tatu kwa kila shehiya. Sifa ni raia, miaka 18 au zaidi mwenye kujua kusoma, kuandika, hekima, busara, uadilifu, uwezo wa kujieleza na kupambanua mambo ambao najua wengi mnazo. Sifa nyingine ni kuwa mkazi wa kudumu kwenye mtaa au kijiji ambayo haimaanishi kwamba ni lazima uwe mwenye nyumba, hata wapangaji mnaruhusiwa kuomba. Sio l

TO SAUT LOAN BENEFICIARIES, FEDHA YA RESEARCH IMEFIKA

KUTOKA KWA RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI SAUT MH. Malisa Godlisten TO SAUT LOAN BENEFICIARIES.   Uzoefu naonesha kumekuwepo na usumbufu mkubwa wa fedha za Research kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho (mwaka wa 3 na wa 4). Mara nyingi fedha hizi zimekuwa zikifika kwa kuchelewa, watu wakiwa wameshamaliza chuo. Mwaka jana feha hizi zilifika mwezi August while mitihani ya kumaliza ilikuwa July. Wengi waliamua kuondoka na kusamehe fedha hizi ambazo ni haki yao. Tulipoona changamoto hii tuliapa kupigana kwa hali na mali isitokee mwaka wetu wa uongozi. Bada ya juhudi nyingi na za muda mrefu, Bodi ya mikopo wamekubali kutuletea fedha hizo mapema. Hivyo nafurahi kuwajulisha kuwa fedha za Research zimefika na kesho wataanza kusign BAED 3, BAEC 3, ADA 3, na ADPLM 3. Pongezi kwa Waziri wangu wa mikopo Bw. Deus BYera ambaye alidiriki kutumia hadi rasilimali zake biafsi(fedha, muda etc) kuhakikisha fedha za research zinafika kabla Serikali ya SAUTSO 2012/2013 haijaondoka madarakani.You can imagine ju

Kanye West - Clique ft. Big Sean & Jay-Z

Kendrick Lamar - B* Don't Kill My Vibe (Remix) ft. Jay-Z

Mzungu Kichaa - Sliver Fish

MAGAZETI YA LEO MARCH, 20

Image
. . . . . . . . . . . . .