TO SAUT LOAN BENEFICIARIES, FEDHA YA RESEARCH IMEFIKA

KUTOKA KWA RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI SAUT MH.Malisa Godlisten
TO SAUT LOAN BENEFICIARIES.  

Uzoefu naonesha kumekuwepo na usumbufu mkubwa wa fedha za Research kwa wanafunzi wa mwaka wa mwisho (mwaka wa 3 na wa 4). Mara nyingi fedha hizi zimekuwa zikifika kwa kuchelewa, watu wakiwa wameshamaliza chuo. Mwaka jana feha hizi zilifika mwezi August while mitihani ya kumaliza ilikuwa July. Wengi waliamua kuondoka na kusamehe fedha hizi ambazo ni haki yao.

Tulipoona changamoto hii tuliapa kupigana kwa hali na mali isitokee mwaka wetu wa uongozi. Bada ya juhudi nyingi na za muda mrefu, Bodi ya mikopo wamekubali kutuletea fedha hizo mapema.

Hivyo nafurahi kuwajulisha kuwa fedha za Research zimefika na kesho wataanza kusign BAED 3, BAEC 3, ADA 3, na ADPLM 3.
Pongezi kwa Waziri wangu wa mikopo Bw. Deus BYera ambaye alidiriki kutumia hadi rasilimali zake biafsi(fedha, muda etc) kuhakikisha fedha za research zinafika kabla Serikali ya SAUTSO 2012/2013 haijaondoka madarakani.You can imagine juhudi zilizofanyika fedha kufika mwezi March badala ya August kama mwaka jana
Regards to the Loan Officer Mr.Musa kwa msaada wake pia.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA