Posts

VICHWA VYA MAGAZETI LEO JUMAMOSI 31 AUGUST HIVI HAPA.....

Image
 

Makundi ya UEFA Champions League hadharani.

Kundi A . Manchester United . Shakhtar Donetsk. Bayer Leverkusen. Real Sociedad. Kundi B. Real Madrid. Juventus. Galatasaray. Fc Coopenhagen. Kundi C. Benfica. Paris St Germain. Olympiakos. Rsc Anderletch. Kundi D. Bayern Munich. CSKA Moscow. Manchester City. Viktoria Plzen. Kundi E. Chelsea. Schalke 04. Fc Basel. Steua Bucharest. Kundi F. Arsenal. Oylmpique Marseile. Borrusia Dortmund. Napoli. Kundi G. Fc Porto. Atletico Madrid. Zenith St Petersburg. Austria Wien. Kundi H. Fc Barcelona. Ac Milan. Ajax Amsterdam . Glasgow Celtic.

MAONYESHO YA NANE YA BIASHARA YA AFRIKA MASHARIKI KUANZA RASMI KESHO KATIKA VIWANJA VYA NYAMAGANA JIJINI MWANZA

Image
Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyabiashara wa Viwanda na Kilimo Elibariki Mmari (katikati)  akizungumza na vyombombalimbali vya habari kuhusu ujio wa Maonyesho ya nane ya Biashara ya Afrika Mashariki, kulia ni Muweka hazina wa TCCIA Mwanza Bw. Majid Igangula na kulia ni Makamu mwenyekiti wa TCCIA Mwanza Bw. Leopard Lema .  Maonyesho ya NANE ya Biashara kwa nchi za Afrika Mashariki (EastAfrica Tarade Fair) yanayoandaliwa na TCCIA mkoa wa Mwanza yanataraji kuanza rasmi  tarehe 30/08/2013  mpaka tarehe 8/09/2013 katika viwanja vya Nyamagana jijini Mwanza yakihusisha makampuni mbalimbali ya bidhaa ndani na nje ya nchi. Licha ya Maonyesho hayo kutumika kama jukwaa kwa makampuni mbalimbali ya ndani  na nje kuonyesha shughuli na huduma wanazozitoa pia itakuwa ni fursa ya yatatumika kama fursa ya kuanzisha mitandao katika dhana ya usambazaji wa bidhaa. Hii ni fursa ya wakazi wa Mwanza kujifunza jinsi ya kuboresha bidhaa zao kupitia ushindani,kujifunza jinsi ya fursa zili

PAMOJA REGGAE NITE @NEW MSASANI CLUB EACH FRIDAY KARIBU SANA

Image

TAFES SAUT Praise n' Worship Team - HALLELUYA (Official HD)

ANGALIA KICHUPA KIPYA CHA MSANII T NOCK -Nionyeshe Njia KILICHOTENGENEZWA APRILMEY VIDEOZ

Directed by Kenny Ukiyz (Aprilmey videos), Produced by Dr.Eddo(Zoo Records), Shot in Mwanza_"Rock city"

REGGAE PAMOJAH NITE @MSASANI CLUB ON 16 AUGUST

Image

EID MUBARAK WADAU WOTE!!!

Image
Nawatakia sikukuu njema ya Eid -Al -Fitr

ASANTENI WADAU KWA HONGERA ZENU

Image

International Reggae Event in Town!! Happening on 16 Aug @ New Msasan Club!!

Image

VICHWA VYA MAGAZETI LEO AUGUST, 4

Image

INTERESTING MESSAGE FROM MY LECTURER MR.DENIS MPAGAZE TO GRADUATES AND THE GOVERNMENT

FROM FACEBOOK WALL OF lecturer Mr. Denis Mpagaze Baada ya dhiki ni faraja? About 800 students from PR will be graduating this November, 2013 at SAUT, achilia mbali kozi nyingine. Every Tanzania goes to school. It is very amazing and wonderful. Education today in Tanzania is the norm, not exception. Is it because it is the key to life? I don’t know. I say it is a norm because every parent wants his child to go to school as a foundation of good life. I remember my parents used to tell us that, “ wanangu urithi pekee naoweza kuwapatia ni elimu” and they were ready to go hungry but our school requirements are fulfilled. What my parents believed was that after education journey the next was employment and we were motivated to work hard. At that time an adage, “baada ya dhiki ni faraja” had a meaning. But today the story is otherwise. Employment in Tanzania is not a guarantee except for those who join education courses-and they are many. The repercussion of this is that, s