Posts

The "Dawati ni Elimu"” charity walk

Image
The   "Dawati ni Elimu"” charity walk was be held on 12 October from Mnazi Mmoja to Bunge Primary School led by the first lady of United republic of Tanzania Mama Salma Kikwete. “The First of its kind mayoral ball aims to raise TZS 4.98 Billion towards providing 30,487 desks to primary and secondary schools in Ilala Municipality by end of financial year 2013/14. 100% of all funds shall proceeds towards realisation of this project. Dawati Ni Elimu is a project by Hon Jerry Silaa, Mayor of Ilala Municipal council toward the build up of the annual Mayors ball. The Charity walk was sponsored by TSN Group, Eventlites, Continental Outdoor, A1outdoor and Vodacom and Managed by 361 degrees. ABOUT DAWATI Ni ELIMU. DAWATI Ni ELIMU is a project towards the Mayors ball that aims to solve the issue of shortage of desks in primary and secondary schools in Ilala municipality where by currently there is a lack of 30,487 desks. The proje

Download na kusikiliza "Shituka-ice b-siggy+coyo mc kutoka acute music na mecca flash.

KING'S ENTERTAINMENT WANAKULETEA T.I.D NDANI YA DENFRANCE HOTEL NI ALHAMISI HII..

Image
  Ni Top In Dar a.k.a Mnyamaaaaaaaa Unyamani ndani ya club BASEMENT pale DenFrance Hotel Sinza whiteInn .... itakua siku ya Alhamisi ya tarehe 10.10.2013 kuanzia saa 2 kamili usiku mpk kokoliko!!! Bonge la bash na disco kali kutoka kwa Dj K3 No Dought!!!! much more to come every Thursday !!!! si ya kukosa aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

SOMA VICHWA VYA MAGAZETI VYA IJUMAA YA OCTOBER, 04

Image

SEMINA YA KAMATA FURSA TWENDEZETU KWA VIJANA YAFANYIKA LEO JIJINI MWANZA

Image
    Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh Stephen Masele akizungumza mada iliyohusu fursa mbalimbali zinazopatikana kwenye nishati na madini ndani ya semina ya kamata fursa twendzetu,iliyofanyika mapema leo ndani ya ukumbi wa Gold Crest.    Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh Stephen Masele akimtambulisha mmiliki wa hotel kubwa ya kitalii hapa jijini Mwanza, Gold Crest,Bwa.Mathias Erasto,ambaye pia ni mchimbaji mdogo wa madini,aliyajipatia fursa mbalimbali na kuzitumia ipasavyo na kufikia hapo alipo kimafanikio.  Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida,Mh.Yahaya Nawanda akizungumzia mada yake iliyohusu suala la ufugaji,hasa kuku wilayani mwake,ambapo pia amewataka vijana kuitumia fursa ya ufugaji wa aina yoyote katika suala zima la kujiletea maendeleo kwa namna moja ama nyingine badala ya kusubiri Serikali iwafanyie ama iwaletee kila kitu hapo walipo. Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia,Mh Januari Makamba akizungumza kwenye mada yake iliyoh

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA USIKU WA SERENGETI FIESTA NDANI YA MUSOMA

Image
 Msanii mwingine anaefanya vyema hivi sasa katika anga ya muziki wa Bongofleva,Rich Mavoko akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu,mbele ya wakazi wa mji wa musoma waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Karume mkoani Mara.  Madansa wa msanii wa muziki wa kizazi kipya,Shilole wakitumbuiza jukwaani usiku huu ndani ya Uwanja wa Karume,ndani ya mji wa Musoma mkoani Mara,ambapo tamasha la serengeti fiesta 2013 likiendelea hivi sasa.  Anajiita tajiri wa Mahaba Cassim Mganga kutoka Manzabay akiwaimbisha jukwaani wakazi wa mji wa Musoma,wakati tamasha la serengeti fiesta 2013 likiendelea hivi sasa ndani ya uwanja wa Karume.  Mashabiki wakijinafasi kwa raha zao.  Kundi la Wanaume TMK likiongozwa na Chege na Temba wakilishambulia jukwaa la serengeti fiesta usiku huu ndani ya uwanja wa Karume mjini Musoma mkoani Mara.  Mkali mwingine wa muziki wa Reggae kutoka kanda ya Ziwa,Jita Man akiwakumusha mash