Posts

MAGAZETI YA LEO IJUMAA, TAREHE 16/05 HAYA HAPA

Image
SOURCE:mjengwablog

MAGAZETI:VICHWA VYA MAGAZETI LEO ALHAMIS 15/05 HIVI HAPA

Image
source:mjengwablog

HAPPY BIRTHDAY MY FRIEND ROBERT LATONGA.

Image
Today is a great day to my close best friend of all time,aka ROBBY,Big R, Mtiifu, mkuu...."kipi haujasikia" even this can be ur nick name LOL U have many names even I fail to identify which one will suit u on this special day. I wish you a year with loads of fun, excitement and beautiful memories. Happy Birthday. You are a good friend and an even better person. May God bless you with wonderful times ahead. Happy Birthday and thanks for the friendship we share. I wish you a very Happy and warm Birthday. Your friendship has touched all of us. May you get all you desire. With a new year of your journey, shall come more challenges, opportunities and greater success.  May God bless you. Happy Birthday. You are an amazing friend, with a good heart. May God pour his love and warmth on you, in all walks of life.

BET: DIAMOND PLATNUMZ AINGIA KATIKA TUZO ZA BET 2014 AKIWAKILISHA AFRIKA.

Image
Diamond Platnumz Washiriki wa tuzo za BET 2014 wametangazwa leo Tukio ili la utoaji tuzo kwa washindi litafanyika nchini Marekani tarehe 29 June 2014 katika ukumbi wa Nokia theatre huko Los Angeles, California, Marekani. Hii ndio orodha kamili ya washiriki wote wa tuzo hizi za mwaka 2014 katika makundi mbalimbali kulingana na aina ya mziki au tuzo wanazo ziwania.   Best International Act: Africa Davido (Nigeria) Diamond Platnumz (Tanzania) Mafikizolo (South Africa) Sarkodie (Ghana) Tiwa Savage (Nigeria) Toofan (Togo) Best International Act: UK Dizzee Rascal Ghetts Krept & Konan Laura Mvula Rita Ora Tinie Tempah  Best Female R&B/Pop Artist Beyoncé Janelle Monáe Jhené Aiko K. Michelle Rihanna Tamar Braxton  Best Male R&B/Pop Artist August Alsina Chris Brown John Legend  Justin Timberlake Pharrell Williams  Best Group A$AP Mob Daft Punk Macklemore & Ryan Lewis TGT Young Money  Best Collaboration August Alsina

CONGO WAAMUA KUTUMIA TRAFIKI ROBOTI,SABABU HIZI HAPA

Image
Nchi za kiafrika zikiwa zinaendelea kukumbana na tatizo la ongezeko la magari inayosababisha foleni kubwa,ambapo kwa tafiti inaoneka mji mkuu wa Angola ambao ni Luanda una foleni kubwa sana kuliko hata hii ya Dar Es Salaam. Jiji la kinshasa ambalo pia limekuwa katika miongoni mwa majiji ambayo yako katika shida kubwa ya ongezeko la magari na kusababisha foleni kubwa inayosababisha kurudisha maendeleo ya kiuchumi pamoja na kuwa katika machafuko, wamekuja na mbinu mpya ya kutumia roboti kama trafiki. Trafiki huyu roboti ameunganishiwa vifaa vya kisasa katika kupambana na askari wala rushwa,madereva wote wafanya makosa wawapo barabarani lakini pia kupunguza foleni kwa haraka zaidi, roboti hili limeunganishwa kwenye mfumo ambao inaweza kupiga picha na kuituma makao makuu ya polisi kwa matukio yote yanayotokea barabarani kwa muda muafaka. picha ya AFP/Getty  Mara baada ya roboti kupiga picha, linatuma kwenye internet kwenye makao makuu ambapo mfumo wake wa

Snura Afunguka Ya Moyoni Kuhusu Diamond Kuchukua Tuzo Saba, Na Hiki Ndicho Alichosema

Image
MSANII wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi amefunguka kwamba tuzo saba za Kilimanjaro alizopata msanii mwenzake, Nasibu Abdul alistahili kuzipata kwani anajituma. Msanii wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi, 'Mama Majanga'. Akichonga na gazeti hili, Snura alisema Diamond ni mwanamuziki anayejituma sana pia ni mbunifu na juhudi zake ndizo zimemfanya ashinde tuzo zote hizo. “Mimi nilikuwa kwenye kipengele cha msanii chipukizi lakini haikuwa bahati yangu, naamini wakati wangu ukifika nitapata tuzo sina haraka ila kwa shemeji Diamond alistahili kupata,” alisema Snura. -gpl