Posts

Una Shinda ya milioni moja cash kutoka kwa Diamond fanya hivi

Image
Haya ni maneno ya Diamond akitangaza kitu ambacho ukikifanya unaweza kujishindia milioni moja cash. Soma hapa na kama lipo ndani ya uwezo wako fanya ujishindia pesa kutoka kwa Diamond.

MSANII MWINGINE MKUBWA NDANI YA PENZI ZITO NA KISERENGETI BOY

Image
Modo wa Tanzania anayejulikana kwa jina la Calisah ambaye amewahi kushiriki Mr.Tanzania 2013-2014 ameandika picha za kimahaba katika picha za msanii maarufu wa filamu, Jackline Wolper ‘Gambe’… “Umenifanya nisitamani mwanamke yeyote katika dunia hii. Nakupenda sana Wolper Gambe wangu coz i get everything from you.I love you kamdoli kangu, kichuna changu,” hayo ndo maneno ya kimahaba aliyoyaandika na kumtumia Wolper.

HABARI ZOTE KUU KATIKA MAGAZETI JULY, 22 SOMA HAPA

Image

DROGBA KURUDI DARAJANI WIKI HII KUANZA KAZI YA KOCHA MCHEZAJI

Image
Gwiji: Mourinho (kushoto) alimleta Drogba Chelsea mwaka 2004 kutokea klabu ya Marseille. NDOTO ya Didier Drogba kurudi tena Chelsea inatarajia kukamilika wiki hii. Mazungumzo ya kumpa mkataba wa mwaka mmoja wa ukocha na mshambuliaji wa akiba yamekuwa yakiendelea vizuri na kuelekea kukamilika na gwiji huyo wa darajani mwenye miaka 36 ataungana na kocha wake wa zamani, Jose Mourinho.   Inafahamika kuwa Drogba ameshawatumia ujumbe baadhi ya wachezaji wenzake wa zamani wa Chelsea akieleza kuwa anarudi darajani. Nyota huyo mwenye miaka 36 amezivutia klabu kadhaa nchni Qatar, wakati Juventus wakipambana namna ya kuinasa saini yake. Chelsea inataka kupunguza wachezaji wenye umri mkubwa kwenye kikosi chake, lakini inatambua mchango wa Drogba nje na ndani ya uwanjani.

RAMADHANI JUMA AFUTULISHA NYUMBANI KWAKE TABATA

Image
Bwana Ramadhani Juma jana aliarika ndugu,jamaa na marafiki nyumbani kwake Tabata jijini Dar Es Salaam na kufutulisha wote waliofika eneo la tukio lakini tukio ili la kufutulisha lilienda sabamba na sherehe ya kuzaliwa ya  kijana wake Akrama aliyetimiza miaka 2. Tukio ili limekuwa la kipekee kwani limekutanisha watu wengi waliokulia Musoma na sasa wanafanya shughuli zao jijini Dar Es Salaam. chakula kikiwa tayari wageni wakifuturu mawaidha ya hapa na pale Akrama Birthday Boy katikati Robert Latonga naye pia alikuwepo katika shughuli Ramadhani Juma akikata keki Akrama Mambo ya kula keki