RAMADHANI JUMA AFUTULISHA NYUMBANI KWAKE TABATA

Bwana Ramadhani Juma jana aliarika ndugu,jamaa na marafiki nyumbani kwake Tabata jijini Dar Es Salaam na kufutulisha wote waliofika eneo la tukio lakini tukio ili la kufutulisha lilienda sabamba na sherehe ya kuzaliwa ya  kijana wake Akrama aliyetimiza miaka 2.

Tukio ili limekuwa la kipekee kwani limekutanisha watu wengi waliokulia Musoma na sasa wanafanya shughuli zao jijini Dar Es Salaam.
chakula kikiwa tayari
wageni wakifuturu
mawaidha ya hapa na pale
Akrama Birthday Boy katikati
Robert Latonga naye pia alikuwepo katika shughuli
Ramadhani Juma akikata keki
Akrama
Mambo ya kula keki

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA