Posts

PAKA AFUNGIWA HIRIZI MTINI

Image
Tukio hilo lililokusanya umati mkubwa wakiwemo waumini wa msikiti huo lilitokea alfajiri ya Alhamisi iliyopita ambapo… Stori: Dustan Shekidele, MOROGORO KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, paka mwenye hirizi kubwa shingoni akiwa hai alikutwa amepigiliwa misumari juu ya mti uliopo jirani na Msikiti wa kwa Mtawara uliopo Kata ya Mwembesongo mkoani hapa. Paka mwenye hirizi kubwa shingoni akiwa amepigiliwa misumari juu ya mti uliopo jirani na Msikiti wa kwa Mtawara uliopo Kata ya Mwembesongo, Morogoro. Tukio hilo lililokusanya umati mkubwa wakiwemo waumini wa msikiti huo lilitokea alfajiri ya Alhamisi iliyopita ambapo baadhi ya waumini wa msikiti huo walikuwa wamefika msikitini kwa Swala ya Alfajiri. Baadhi ya waumini wa msikiti huo walipohojiwa na mwandishi wetu walisema alfajiri hiyo walisikia sauti ya paka akilia kutoka kwenye mti huo uliopo kandokando ya Barabara ya Mtawara inayoelekea Kichangani na Mji Mpya. Watoto wakishudia tukio hilo la kushangaza. “Tulifika

Chahali: Maoni yangu - JK aziponda sera za uchumi za Nyerere, adai zimechangia umasikini wa Tanzania

Image
. Rais Jakaya Kikwete amezilaumu sera za uchumi za Tanzania baada ya nchi yetu kupata uhuru akidai zimepelekea hali duni ya kiuchumi. Alieleza kuwa sera hizo ni moja ya sababu zinazoifanya Tanzania kuwa katika kundi la Nchi Masikini Zaidi Duniani (The Least Developed Countries - LCD) tangu utaratibu huo wa kuzigawanya nchi kutokana na viwango vyake vya kiuchumi na maendeleo uanze miaka ya 70. Akihutubia Alhamisi iliyopita jijini Washington DC, nchini Marekani katika Kongamano la Shirika la Misaada la nchi hiyo (USAid Forum) kuhusu vikwazo vya maendeleo na jinsi ya kutokomeza umasikini uliokithiri, Rasi Kikwete alisema kwamba itikadi iliyoongozwa na kuaminiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere imeshindwa kuzaa matunda. Akieleza kwanini nchi 33 kati ya 48 masikini zaidi duniani zipo Afrika, Rais alieleza kuwa nyingi ya nchi hizo (25) ni wahanga wa migogoro, lakini baadhi kama Tanzania zimekuwa na amani na utulivu lakini zimeendelea kuwa katika kundi hi

MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAR:- 29.09.2014

Image
  BOFYA HAPA KUYASOMA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATATU   BOFYA HAPA KUYASOMA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATATU   BOFYA HAPA KUYASOMA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATATU BOFYA HAPA KUYASOMA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATATU

BOB HAISA -"LAMSONDO" (OFFICIAL MUSIC VIDEO) DIRECTED BY KENNY UKIYZ

video Directed by Kenny Ukiyz. Audio produced by King Fenya ze beat (Mbunda Records)

ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015 NGAZI YA CERTIFICATE NA DIPLOMA

Image
WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015 WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWAKA WA MASOMO 2014/2015 MAELEKEZO: Waombaji waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka wa masomo 2014/2015 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo walivyopangiwa tarehe 06/10/2014 . Fomu za maelekezo (Joining Instructions) zitatolewa na chuo husika na zitatumwa kwa waliochaguliwa tu. Waliochaguliwa wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa na mahitaji yaliyoainishwa kwenye fomu ya kujiunga na Chuo. Aidha, fomu hizi zinapatikana pia kwenye Tovuti ya Wizara:www.moe.go.tz; NACTE:www.nacte.go.tz; na TAMISEMI: www.pmoralg.go.tz Muhimu: 1. Waombaji waliochaguliwa ni wale wenye ufaulu wa Daraja la I hadi III 2. Waliochaguliwa wanatakiwa kuwasilisha Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania Kidato cha NNE na SITA (CSEE na ACSEE) na vyeti vya kuhitimu Elimu ya Sekondari na M

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI, SEPTEMBER 28 YAPO HAPA.

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

HUU NDIO UJUMBE DIAMOND ALIOMWANDIKIA WEMA KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA, WANAFIKI KAZI MNAYO

Image
  Wapenzi wanaofuatiliwa zaidi Diamond na Wema Sepetu wamepitia misuko siku tofauti mwaka huu mpaka kufikia kuachana na kurudiana,hivi katibuni pamekuwa na stori tofauti kuhusu ndoa na Diamond kuhusishwa na mwanamke mwingine, Kwenye siku ya kuzaliwa ya Wema Sepetu, Diamond ametumia instagram kutoa ya moyoni kuhusu penzi lake kwa Wema.