Posts

KAMATI YA PAC YAMTAKA WAZIRI MKUU, MWANASHERIA MKUU, WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WAWAJIBIKE KUHUSU RIPOTI YA TEGETA ESCROW

Image
Waziri Mkuu Mizengo Pinda. WAZIRI MKUU - Kamati imesema imejiridhisha pasipo mashaka kuwa, Waziri Mkuu, alikuwa ana taarifa zote kuhusiana na mchakato mzima wa kuchotwa fedha kutoka katika akaunti ya ESCROW. -Kamati, kwa kuzingatia kielelezo namba 22, inathibitisha bila shaka kwamba, Waziri Mkuu alikuwa analijua jambo hili vizuri na kwamba aliridhia muamala huu ufanyike. Ndiyo maana katika maelezo yake ya   Bungeni mara kadhaa Waziri Mkuu alithibitisha kuwa fedha za Escrow hazikuwa fedha za Umma. - Ripoti yasema ni jambo la kushangaza kuona kwamba, jambo kubwa na zito kama hili lingeweza kufanyika bila ya mamlaka za juu, hususan Mhe. Waziri… Waziri Mkuu Mizengo Pinda. WAZIRI MKUU - Kamati imesema imejiridhisha pasipo mashaka kuwa, Waziri Mkuu, alikuwa ana taarifa zote kuhusiana na mchakato mzima wa kuchotwa fedha kutoka katika akaunti ya ESCROW. -Kamati, kwa kuzingatia kielelezo namba 22, inathibitisha bila shaka kwamba, Waziri Mkuu alikuwa analijua jambo hili vi

SIKILIZA RIPOTI YA CAG KUHUSU AKAUNTI YA ESCROW IKISOMWA BUNGENI

Image
Katika kikao cha Bunge kilichokaa leo Novemba 26 Mwenyekiti wa PAC,   Zitto Kabwe   na Makamu wake   Deo Filikunjombe   waliwasilisha Ripoti ya ishu ya Escrow ambapo kama hukupata kusikiliza wakati Ripoti hiyo ikiwasilishwa hii ni sehemu ya uwasilishwaji wa Ripoti hiyo. “ …Katika fedha ambazo zimelipwa kwa watu binafsi katika Benki hizi yapo majina ya viongoozi wa kisiasa, viongozi wa madhehebu ya dini, Majaji na watumishi wengine wa Serikali.. “–   Zitto Kabwe. Kwa upande wa Viongozi wa Kisiasa walioingiziwa fedha katika akaunti zao binafsi ni; Mheshimiwa Andrew Chenge Mbunge, ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na sasa ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, shilingi Bil. 1.6, mheshimiwa Anna  Tibaijuka Mbunge na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, shilingi Bil. 1.6, Mheshimiwa William Ngeleja Mbunge na ambaye alikuwa Waziri wa Nishati na Madini, shilingi milioni 40.4, ndugu Daniel Yona ambaye alikuwa pia Waziri wa Nishati na Madini shilingi

BILIONEA DANGOTE AKAGUA UJENZI WA KIWANDA CHAKE CHA SARUJI MTWARA

Image
 Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote akitumia gari kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda chake kikubwa cha saruji katika Kijiji cha Msijute, mkoani Mtwara leo.  Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote (Dangote Industries Group), mfanyabiashara maarufu Afrika, Alhaji Aliko Dangote (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Dangote nchini, Esther Baruti kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara leo.  Ndege ya bilionea huyo wa Afrika, Alhaji Dangote ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara (P.T)  Alhaji Aliko Dangote kutoka Nigeria, akilakiwa na Mwakilishi Mkazi wa Dangote nchini, Esther Baruti alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG  Balozi wa Nigeria nchini, Dk. Ishaya Manjanbu akimlaki Alhaji Dangote.  Dangote akiwa na Mwakilishi Mkazi wa Kampuni yake hapa nchini, Esther Baruti Dan

BIRTHDAY PATI YA BABY MADAHA,YATAWALIWA NA UCHAFU 85%

Image
Stori: Issa Mnally SHEREHE  ya siku ya kuzaliwa ya msanii wa muziki na filamu, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Kijitonyama jijini Dar es Salaam, ilitawaliwa na vitendo vichafu mwanzo mwisho. Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’akiogeshwa pombe na mashosti zake. Hafla hiyo iliyohudhuriwa na watu wachache wakiwemo baadhi ya wasanii, ilifanyika katika Grosari moja iliyopo Kijitonyama.Miongoni mwa mastaa waliohudhuria alikuwa ni mcheza soka wa zamani wa timu ya Yanga ya jijini Dar, Samson  Mwamanda. Sherehe hiyo iliyoanza mishale ya saa 6.00 usiku ilitawaliwa na vituko kibao vilivyowaacha midomo wazi baadhi ya wahudhuriaji.Moja ya vituko hivyo ni pale Baby Madaha aliyekuwa amekolea kwa kilevi alipoamua kupigana denda laivu na msanii Isabela Mpanda ambaye naye alikuwa kachangamka ile mbaya. Baby Madaha akifurahia bethidei na shosti yake Isabela. Isabela alikuwa kituko zaidi kufuatia kuvaa kinguo kifupi cha pinki kilichoacha sehemu kubwa ya

DK CHENI ALISHWA SUMU KWA MARA NYINGINE

Image
Stori: Imelda Mtema Staa wa kiume wa sinema za Kibongo, Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’, kwa mara nyingine alilazwa katika Hospitali ya TMJ iliyopo Mikocheni jijini Dar baada ya kudaiwa kula chakula kinachosadikika kuwa na sumu (poisonous food). Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’ akiwa hoi hospitalini. Akizungumza na mwandishi wetu wikiendi iliyopita Dk Cheni alisema kuwa alikuwa mshehereshaji (MC) kwenye harusi moja iliyofanyika maeneo ya Sinza jijini Dar ndipo akala chakula hicho ambapo muda mfupi baadaye alianza kujisikia vibaya ‘kichina’. Staa huyo alisema kuwa baada ya hatua chache kutoka ukumbini, tumbo lilianza kumuuma kisha akaishiwa nguvu ndipo akaweka gari pembeni na kupiga simu kwa ndugu kuomba msaada. Dk Cheni aliendelea kueleza kuwa baada ya kupata msaada moja kwa moja alipelekwa kwenye Hospitali ya Burhani jijini Dar. ‘Dk Cheni’, Alisema kuwa baadaye alihamishiwa kwenye Hospitali ya TMJ ambapo madaktari walipompima waligundua alikuwa amekula chakula chenye sumu ndipo wakamp

MAGAZETI YA LEO JUMATANO, NOVEMBER 26 YAPO HAPA

Image
V

MATOKEO YOTE YA MECHI ZA CHAMPIONS LEAGUE

Image

KATUNI YA LEO

Image

MPIGIE KURA MISS TANZANIA 2013 KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD 2014

Image
VOTING HAS OPENED! You can now register your votes for your Favourite contestants on the Miss World App, and its FREE! Download the Miss World App on iOS & Android now and you can vote for your TOP THREE contestants in the competition.   Voting will be open for the next 25 days, closing during the final show. Download the App Here –  http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/ For more info on the vote Click here – http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/CastYourVote/  **** HAPPYNESS WATIMANYWA (MISS TANZANIA 2013/2014) ANAHITAJI KURA YAKO KATIKA KINYANG’ANYIRO CHA MISS WORLD MPIGIE KURA MISS TANZANIA HAPPYNESS WATIMANYWA. BAADA YA KUDOWNLOAD APP YA MISS WORLD NENDA VOTE FOR YOUR TOP3 KISHA UMPIGIE MREMBO MWENYE SURA HIYO HAPO KWENYE PICHA KATIKA WATATU UTAKAO WAONA DOWNLOAD APP YA KURA  KATIKA LINK HII  HAPA CHINI http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/