Posts

MAGUFULI ATIKISA MIKOA YA GEITA NA SHINYANGA

Image
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk Jonh Pombe Magufuli akifanya mkutano wa kampeni katika viwanja vya UWT CCM, Kahama. Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Abdalah Bulembo akiwataka wananchi kumchagua Magufuli. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Msitaafu, Samuel Sitta akimnadi Magufuli. Katibu Mwenezi wa Chadema, Musa Dida akirudisha kadi ya chama chake, kuvua gwanda na kuchukua kadi ya CCM. (P.T) Sehemu ya wakazi waliofurika katika viwanja vya UWT Kahama wakiwa na mabango ya kumfagilia Magufuli. Wakazi wa kijiji cha Bulungwa wakimsikiza Magufuli baada ya kumsimamisha barabarani Wakazi wa kijiji cha Igulwa Wakazi wa Mbogwe wakimsikiliza Magufuli   Wakazi wa mgodi wa Nyarugusu Kundi la waimbaji wa Yamoto Bendi wakifanya yao viwanja vya UWT Kahama. Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe

HABARI KUTOKA MAGAZETINI IJUMAA HII, SEPTEMBER 25

Image