Posts

US Green Card Lottery / DV-2017 Program now accepting applications

Online registration for the DV 2017 Program begun on Thursday, October 1, 2015 and concludes on Tuesday, November 3, 2015. Visit the following link to the US Official website for details: http://www.travel.state.gov/content/visas/en/immigrate/diversity-visa/instructions.html

Kielelezo cha NEC cha namna ya kupiga kura

Image

NHC YAZINDUA UUZAJI WA NYUMBA ZA BIASHARA NA MAKAZI ZA MOROCCO SQUARE

Image
 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mauzo ya nyumba za biashara na makazi-Morocco Square uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. (Picha na Francis Dande)  Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo.   Naibu Wazriri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu.   Wageni waalikwa.  Wageni waalikwa.   Naibu Wazriri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu.   Burudani ya muziki. Burudani ikiendelea.   Naibu Wazriri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu.    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mche

MAGAZETI YA LEO JUMATATU, OCTOBER 5

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

MAGAZETI YA SEPTEMBER 30

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .