Posts

DARAJA LA KIGAMBONI KUFUNGULIWA RASMI APRIL

Image
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akipata maelezo kutoka kwa Meneja Msimamizi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni Eng. Karim Mattaka alipokagua daraja hilo leo jijini Dar es salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Meneja miradi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Eng. John Msemo wakati alipotembelea daraja la Kigamboni kuangalia ujenzi wa daraja la Kigamboni leo jijini Dar es salaam. Mwonekano wa lango la kuingilia daraja la Kigamboni  kwa upande wa Kigamboni, linavyoonekana pamoja na vyumba vya kukatia tiketi. Mwonekano wa lango la kuingilia daraja la Kigamboni kwa upande wa Kigamboni, linavyoonekana pamoja na vyumba vya kukatia tiketi. Mwonekano wa vyumba vya ofisi zitakazotumiwa na wasimamizi wa Daraja la Kigamboni. Barabara za maingilio (inter change) ya Daraja la Kigamboni upande wa Kurasini.

Taarifa ya habari ChannelTEN, Machi 20, 2016

Image
Email This   BlogThis!   Share to Twitter   Share to Facebook  

Lady JayDee's new audio 2016 - Ndi Ndi Ndi

Email This   BlogThis!   Share to Twitter   Share to Facebook  

MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA TPA YAIPIGA TAFU HOSPITAL YA KISARAWE

Image
Meneja Mawasiliano wa TPA, Bibi Janeth Ruzangi (kulia) akikabidhi vitanda 20, magorodo 20 na mashuka 100, vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 13 kwa hospitali ya Wilaya ya Kisarawe mwishoni mwa wiki. Anayekabidhiwa vifaa hivyo ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Bwana Hamis Likupotile (kushoto) na Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt Elizabeth Oming’o. Makabidhiano hayo yaliyafanyika hospitali hapo. Meneja Mawasiliano wa TPA, Bibi Janeth Ruzangi (kulia) akikabidhi vitanda 20, magorodo 20 na mashuka 100, vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 13 kwa hospitali ya Wilaya ya Kisarawe mwishoni mwa wiki. Anayekabidhiwa vifaa hivyo ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Bwana Hamis Likupotile (kushoto) na Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt Elizabeth Oming’o. Makabidhiano hayo yaliyafanyika hospitali hapo. Mwandishi Wetu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetoa msaada wa Vitanda 20, Magodoro 20 na Shuka 100 kwa Hospitali ya Wila

MAGAZETI YA LEO JUMATATU, MARCH 21

Image

ZOEZI LA UCHANGUZI LINAENDELEA VISIWANI ZANZIBAR

Image
Wananchi wakipiga kura katika kituo cha Skuli ya Muembeladu Baadhi ya wananchi wakihakiki majina yao kabla ya kuingia kupiga kura katika kituo cha skuli ya Raha Leo. Wananchi wa Zanzibar leo wanapiga kura katika uchanguzi wa marudio baada ya kufutwa kwa uchanguzi uliofanyika October 25,2025 kutokana na kasoro zilizojitokeza. katika baadhi ya vituo nilivyopata kutembelea asubuhi hii wananchi wamejitokeza na zoezi linaendelea vizuri huku hali ya usalama ikiwa imeimarishwa. katika kituo cha shule yasekondari Muembeladu ambayo ina vituo sita na vituo vitano vinawatu 350 na kituo kimoja kina watu 91 akizungumza msimamizi wa kituo hicho amesema zoezi la upigaji kura linaendelea vizuri katika jimbo la Jangombe . kwa upande wa kituo cha skul ya Muembeshauri nako hali ni shwari na zoezi linaendelea vizuri ambapo katika skul hiyo vituo 11 vinatumika watu kupiga kura, zoezi hilo limeanza vizuri kwa katika eneo hilo la Muembe shauri ambapo ni Jimbo la Raha Leo. Zoezi

WASHINDI WA PROMOSHENI YA KWEA PIPA KWENDA BARCELONA WATANGAZWA

Image
 Mshindi wa  wa Promosheni ya kwea pipa  kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu Jamal Othman mkazi wa Lushoto, Tanga akikabidhiwa mfano wa hundi toka kwa Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta na Mkuu wa Idara ya Masoko ya Azam Media, Mgope Kiwanga katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya Tigo Makumbusho jijini Dar es salaam. Mshindi wa  wa Promosheni ya sespipa  kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu Ismail Salim mkazi wa Dar es salaam akikabidhiwa mfano wa hundi toka kwa Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta na Meneja wa idara ya michezo Azam Media Baruan Muhuza katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya Tigo Makumbusho jijini Dar es salaam. Washindi wa  wa Promosheni ya sespipa  kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La L

RC PAUL MAKONDA AZUNGUMZA NA WENYEVITI NA MAOFISA WATENDAJI WA JIJI LA DAR

Image
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza na wenyeviti na maofisa watendaji wa jiji la Dar es Salaam jana asubuhi kuhusu mambo mbalimbali hasa suala la usafi wa mazingira.  Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando akiongoza mkutano huo.  Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza katika mkutano huo.  Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akizungumza katika mkutano huo.  Mwakilishi wa Taasisi ya Wakala wa Upimaji Ardhi Tanzania, Linus Kinyondo akizungumzia suala zima la ujenzi wa nyumba kwa kuzingatia mipango miji ili kutunza mazingira.  Wenyeviti na maofisa watendaji wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda (hayupo pichani)

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI, MACHI 20

Image