Posts

CHENGA YA MACHO NDANI YA KARIAKOO, UNAVYOIBIWA KIRAHISI BILA KUSTUKIA

Image

TBL Group imelipa kodi bilioni 81/= kwa mwaka 2015

Image
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group ,Roberto Jarrin akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari , wakati lipokuwa akitoa tathmini ya utendaji kazi wa kampuni hiyo kwa kipindi cha mwaka jana na kutangaza mikakati ya mwaka huu,mkutano huo ulifanyika makao makuu ya kampuni hiyo Ilala jijini Dar es Salaam leo Mei 26, 2016 Kampuni ya TBL Group imelipa kodi ya mapato ya kiasi cha shilingi bilioni 81 katika kipindi cha mwaka 2015. Akitoa taarifa ya tathmini ya utendaji wa kampuni ya mwaka uliopita kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group Roberto Jarrin pia amebainisha kuwa mbali na kampuni kulipa kiasi hicho cha kodi pia imekusanya kodi za serikali kiasi cha shilingi bilioni165 ikiwa ni kodi ya mlaji (exercise duty) ,bilioni 114 ikiwa ni kodi ya ongezeko la thamani (VAT) na bilioni 24 ikiwa ni malipo ya kodi nyinginezo ikiwemo kodi ya PAYE. TBL Group ni kampuni inayoongoza kulipa kodi nchini ikiwa imechagia pato la serikali kwa njia ya kodi kiasi

Taarifa ya habari ChannelTEN Mei 26, 2016

Image

Magazeti ya Leo Ijumaa

Image

Tangazo la TBS lenye taarifa na majina ya wanaoitwa kwenye usaili

KUITWA KWENYE USAILI Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za kazi zilizotangazwa tarehe 23.12.2015 kuwa usaili wa kuandika (Aptitude test) utafanyika tarehe 06.06.2016 hadi 07.06.2016. Usaili utafanyika katika ukumbi wa University of Dar-es-Salaam, Business School; muda ni kama ulivyoainishwa katika jedwali husika. Matokeo ya usaili wa kuandika yatatangazwa tarehe 10.06.2016 katika tovuti ya TBS http://www.tbs.go.tz Pia usaili wa mahojiano (Oral Interview) utafanyika kuanzia tarehe 14.06.2016 hadi 15.06.2016; muda ni kama ulivyoainishwa kwenye jedwali. Mahali pa kufanyia usaili ni katika ofisi za TBS makao makuu yaliyopo Ubungo, Dar-es- Salaam. Kada zifuatazo zitafanya usaili wa kuandika (Aptitude test) tarehe 06.06.2016 hadi 07.06.2016: Tafadhali bonyeza linki zifuatazo kwa taarifa zaidi: KUITWA_KWENYE_USAILI_-_Mei_2016.pdf Shortlisted_Inspection_Techn_-_Biomedical_Eng_-_ready_NEW.pdf Shortlisted_QAO_-_Bsc_General_(

Magazeti ya Leo Alhamisi, Mei 26

Image

TANZANIA YAPIGA HATUA KUBWA KATIKA MATUMIZI YA HUDUMA ZA MITANDAO

Image
Kaimu Mkurugenzi Mamlakaya Mawasiliano Tanzania(TCRA)Mhandishi James Kilaba.  Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO Tanzania imepiga hatua kubwa sana katika sekta ya mawasiliano  hadi kufikia kuwa kwenye kundi la  nchi zilizoendelea kimawasiliano Duniani. Takwimu zinaonyesha kuwa watanzania takribani milioni 39 wana laini za simu za kiganjani pamoja na watumiaji wa intaneti takribani milioni 20 ambapo miaka ya nyuma idadi ya laini za simu za kiganjani zilikuwa 2,963,737. Haya ni maendeleo makubwa yanayoifanya Tanzania kuwa nchi bora kwa upande wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi James Kilaba alisikika akisema kwamba,”Ukuaji wa kasi wa sekta ya mawasiliano nchini umechangia sio tu katika kuboresha maisha ya wananchi kijamii na kiuchumi bali unachangia sana katika kuinua pato la Taifa”. Ukuaji huu umetokana na kuwepo kwa sera, sheria