Posts

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI, JUNI 2

Image
KENYA UGANDA

Tangazo la mabadiliko ya tarehe ya kuripoti kwenye makambi ya JKT 2016

Image
TANGAZO MABADILIKO YA TAREHE YA KURIPOTI KATIKA MAKAMBI YA JKT KWA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2016. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linautangazia umma mabadiliko ya tarehe ya kuripoti makambini vijana wote waliohitimu kidato cha sita mwaka 2016 na kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka 2016. Taarifa ya awali kwa vyombo vya habari nchini ilianisha tarehe ya kuripoti kuwa ni tarehe 01 June hadi tarehe 05 Juni 2016. Tarehe hiyo imeafanyiwa mabadiliko badala yake vijana hao wanatakiwa kuripoti katika makambi ya JKT waliyopangiwa kuanzia tarehe 07 June hadi tarehe 10 June 2016 bila kukosa. Atakayesikia tangazo hili amtaarifu na mwezie. Imetolewa na: Kurugenzi ya Habari na Uhusiano Makao Makuu ya JKT Tarehe 31 Mei 2016

MAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNI MOSI

Image

Orodha ya nyongeza ya majina ya waliochaguliwa kujiunga JKT 2016

Image
NYONGEZA YA MAJINA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA 2016. VIJANA WAFUATAO WAMEONGEZWA KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KATIKA MAKAMBI MBALIMBALI KAMA INAVYOONEKANA HAPO CHINI. PIA BAADHI YA VIJANA WAMEHAMISHWA MAKAMBI KUTOKANA NA SABABU MBALIMBALI WARIPOTI KWENYE MAKAMBI KAMA INAVYOONEKANA HAPA CHINI KABLA YA TAREHE 05 JUNI 2016. S/NO JINA SHULE KIKOSI 1 ABDILLAH RAMADHANI HAJI LILIAN KIBO MGAMBO JKT 2 ABDUL M. MTEKETA BENJAMIN WILLIAM MKAPA MGAMBO JKT 3 ABDULAZIZ SALUM AHMAD PIUS SEC.SCHOOL MARAMBA JKT 4 AGNES PETER MAGANGA FLORIAN SEC RUVU JKT 5 AGNESS EMMANUEL KITANDU ST. MARY GORETI RUVU JKT 6 AGNESS PETER MAGANGA MARAMBA JKT 7 AJUAE DAVIS AMINIELI KANEMBWA JKT 8 ALEX MLOSO BINZA HIGH SCHOOL MARAMBA JKT 9 ALFRED AIDAN MBANO KIGONSELA HIGH SCHOOL RUVU JKT 10 ALLY KAFERA ALLY MBEZI BEACH SEC. KANEMBWA JKT 11 ALVIN ISMAEL MAKUNDI ST JOSEPH CATHEDRAL HIGH SCHOOL RUVU JKT 12 AMBWENE FRANK MWAKANEMA UWEMBA SEC MARAMBA JKT 13 AMOS ASEGE NSUMBA RUVU JKT 14 AMOS KING

Watu "waliojitambulisha ni askari" waua watu 8 Mikocheni, Tanga

Image

TBL GROUP YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA WA TUZO YA MZALISHAJI BORA WA MWAKA 2015

Image
Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Magufuli akikabidhi tuzo  kwa mshindi  wa kwanza wa Tuzo ya Rais ya mzalishaji bora wa mwaka 2015, kwa  Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group,Roberto Jarrin  wakati wa hafla ya kutoa  tuzo kwa washindi iliyofanyika jijini katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam . Wengine ni Mwenyekiti wa Chama Cha Wenye Viwanda Tanzania (CTI), Dk. Samwel Nyantahe ( wa pili kulia)  na kushoto ni Waziri wa Biashara ,Viwanda na Uwekezaji Mh.Charles Mwijage. Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group na maofisa waandamizi wa kampuni wakifuatilia matukio wakati wa hafla hiyo Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group na maofisa waandamizi wa kampuni wakifuatilia matukio wakati wa hafla hiyo Rais John Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa chama cha wafanyabiashara wenye viwanda na watendaji wa makampuni ambayo yameshinda tuzo mbalimbali katika kipindi cha mwaka huu.  (P.T) Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group,Roberto Jarrin (wa nne mstari wa mbele kutoka kushoto

Taarifa ya uteuzi wa M/Kiti na Wajumbe wa Bodi za TANESCO, STAMICO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA NISHATI NA MADINI TAARIFA KWA UMMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Dkt. Alex L. Kyaruzi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Kufuatia uteuzi huo, Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Sospeter M. Muhongo (Mb.), amewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TANESCO kuanzia tarehe 31/5/2016 hadi tarehe 30/5/2019; Dkt. Samwel Nyantahe Dkt. Lugano Wilson Bw. David Elias Alal Mhandisi Stephen Peter Mabada Mhandisi Leonard R. Masanja Aidha, Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo (Mb) amekamilisha uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), kuanzia tarehe 30/5/2016 hadi 29/5/2019wajumbe hao ni : Bw. Abdalah H. Musa Dkt. Coretha Komba Bw. Felix M. Maagi Dkt. Lightness Mnzava Bw. John B. Seka  Uzinduzi wa Bodi hizo utafanyika Makao Makuu ya Mashiriki hayo Siku ya Alhamisi t