Posts
RAIS MAGUFULI AZINDUA UJENZI WA DARAJA LA FURAHISHA
- Get link
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa daraja la waenda kwa miguu na upanuzi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege eneo la Furahisha jijini Mwanza kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara nchini Eng. Patrick Mfugale, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw. John Mongela. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akizindua mitambo inayojenga daraja la waenda kwa miguu na upanuzi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege eneo la Furahisha jijini Mwanza, wa pili kutoka kulia ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na watatu kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Edwin Ngonyani. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara nchini Eng. Patrick Mfugale akimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli wa tatu kulia michoro ya muonekano wa daraja la waenda kwa miguu na upanuzi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege eneo la Furahisha jijini Mwanza. Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,
Kurasa za mbele na nyuma za baadhi ya magazeti ya Tanzania leo Agosti 12, 2016
- Get link
- Other Apps
Ubuyu: Gigy Money awataja mastaa 6 aliotoka nao kimapenzi
- Get link
- Other Apps
Gigy Money Jumanne hii aliwaacha mdomo wazi mashabiki wake baada ya kuwataja live kwenye runinga mastaa 6 wakiume aliotoka nao kimapenzi. Video queen huyo ambaye amewai kutamba katika video za mastaa mbalimbali wa bongo, amedai amewai kutoka kimapenzi na AliKiba, Abdu Kiba, Rich Mavoko, Harmonize, Hemed Phd pamoja na mtangazaji wa kipindi cha runinga cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Castro Dickson ambaye alidai alikuwa tayari kumzalia mtoto. “Nilikuwa na Castro mpaka nilikuwa tayari kumzalia,” Gigy Money alikiambia kipindi cha Take One cha Clouds TV. “kwa sababu anajua upendo kwa mtoto, lakini wakaja wanawake wamjini wakakorofisha, lakini hajawai kuniambia kama tumeachana, sijui kama tumeachana,” Gigy ambaye pia ni mtangazaji wa Choice FM alidai Mama yake mzazi alimzaa nyuma ya mlango wa choo. Pia alisema kwamba aliwahi kujitoa kimwili katika umri mdogo ilia pate hela ya kuweza kumnusuru mama yake mzazi kulipa deni la mkopo wa Benki umenukuliwa kutoka bongo5
Taarifa ya NHIF ya utaratibu sahihi wa kuandikisha wanachama
- Get link
- Other Apps
Mandhari inayozunguka uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...
- Get link
- Other Apps
Licha ya kujengwa uwanja mzuri wa soka wa kisasa wenye hadhi ya kimataifa, matunzo ya uwanja huo yamekuwa hafifu. Minazi iliyofanya mandhari ya uwanja huo kupendeza na kuvutia sasa hivi ni tofauti kwani ni hafifu hasa eneo la nje la maegesho ya magari ambapo awali palikuwa na nyasi zinazovutia na miti. Nyasi zimekauka, minazi nayo imekauka na kung'olewa kabisa. Kwenye nyasi hizi ndipo panakoegeshwa magari. Kwa kutumia miundombinu ya maji iliyopo uwanjani hapo, nyasi hizo zingeweza kustawi na kupendezesha eneo la nje. Moja ya mabomba ya maji ambayo yametengenezwa kwa ajili ya kujazia maji magari ya zima-moto ambayo yangeweza pia kutumika kumwagilia maua na nyasi katika eneo hilo. Maeneo ya kupandia minazi ya urembo Moja ya mabomba ya maji ambayo yametengenezwa kwa ajili ya kujazia maji magari ya zima-moto ambayo yangeweza pia kutumika kumwagilia maua na nyasi katika eneo hilo. Picha na maelezo kutoka blogu ya Father Kidevu