Mandhari inayozunguka uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

Licha ya kujengwa uwanja mzuri wa soka wa kisasa wenye hadhi ya kimataifa, matunzo ya uwanja huo yamekuwa hafifu. Minazi iliyofanya mandhari ya uwanja huo kupendeza na kuvutia sasa hivi ni tofauti kwani ni hafifu hasa eneo la nje la maegesho ya magari ambapo awali palikuwa na nyasi zinazovutia na miti. Nyasi zimekauka, minazi nayo imekauka na kung'olewa kabisa.


Kwenye nyasi hizi ndipo panakoegeshwa magari. Kwa kutumia miundombinu ya maji iliyopo uwanjani hapo, nyasi hizo zingeweza kustawi na kupendezesha eneo la nje.

Moja ya mabomba ya maji ambayo yametengenezwa kwa ajili ya kujazia maji magari ya zima-moto ambayo yangeweza pia kutumika kumwagilia maua na nyasi katika eneo hilo.

Maeneo ya kupandia minazi ya urembo 

Moja ya mabomba ya maji ambayo yametengenezwa kwa ajili ya kujazia maji magari ya zima-moto ambayo yangeweza pia kutumika kumwagilia maua na nyasi katika eneo hilo.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA