METL GROUP YAFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA “USIKATE TAMAA”
Mkurugenzi wa Masoko wa MeTL Group, Fatema Dewji-Jaffer akielezea kampeni ya USIKATE TAMAA na jinsi inavyoweza kubadili maisha ya watu waliokata tamaa ya kufanikiwa kimaisha.kulia na Kaimu Meneja Masoko Msaidiz wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Zainul Mzige. Mkurugenzi wa Masoko wa MeTL Group, Fatema Dewji-Jaffer akizungumza kuhusu kampeni ya USIKATE TAMAA, Kushoto ni mwanamuziki Shetta na kulia na Kaimu Meneja Masoko Msaidizi wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Zainul Mzige. Mwanamuziki, Nurdin Bilal Ali maarufu kama Shetta akielezea safari yake ya muziki hadi kufika hatua aliyopo sasa ambayo mwenyewe amesema kuwa kwake ni mafanikio makubwa. Katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa MeTL Group, Fatema Dewji-Jaffer. kulia na Kaimu Meneja Masoko Msaidizi wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Zainul Mzige. Mkurugenzi wa Masoko wa MeTL Group, Fatema Dewji-Jaffer akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari