BAPRM I TEAM LEO KATIKA FAINALI


BAPRM 1 ni timu ambayo hiko katika chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino mjini Mwanza,wiki iliyopita iliweza kuingia fainali ya FAWASCO baada ya kuwatoa BAPRM 2 katika nusu fainali ambao walikuwa mabigwa watetezi kwa kuwafunga magori 4-0. Leo BAPRM 1 atacheza na BAEC maarufu kama EDUCHE....Mtanange huo utachezwa leo tarehe 5/06/2011 katika uwanja vya Raila Odinga kwanzia majira ya saa 10:00 jioni,wakazi wote wa Mwanza mnakaribishwa sana.
Mshindi atakaye patikana leo katika fainali ataondoka na kitita cha sh. Million 17,mshindi wa pili ni Tsh million 9 na wa tatu Tsh. million 5

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA