ANGALIA MATOKEO YA DARASA LA SABA HAPA
Matokeo ya Darasa la Saba ya mwaka huu 2013 yamewekwa kwenye mtandao,ikiwa ni katika hali ya kuboresha.
Matokeo yametangazwa leo mwaka
huu ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 30.72 mwaka jana mbaka asilimia
50.61 mwaka huu kutokana na wanafunzi walio fanya mtihani mwaka huu wa
darasa la saba wamefaulu zaidi ukilinganisha na wanafunzi wa mwaka jana
Kaimu mtendaji wa Baraza la Mtihani Charles Msonda amesema ufauru katika
masomo yote umepanda kwa asilimia kati ya 6.01 na 28.06 ukilinganisha
na mwaka 2012 Mwaka huu watainiwa wamefahulu zaidi katika somo la
Kiswahilin kwa asilimia 69.06 na somo walilio faulu kwa kiwango kidogo
zaidi ni somo la Hisabati wamefaulu kwa asilimia 28.62 Msonda amesema
jumla ya watahiniwa 427,606 kati ya 844,938 walio fanya mtihani huo
wamepata alama ya 100 kati ya alama ya 250 idadi hiyo nisawa na asilimia
50.61
Tizama matokeo kwa kubofya hapa NECTA
Comments
Post a Comment