DR DRE: KAMPUNI YA BEATS ELECTRONICS YAILALAMIKIA CHINA KUTENGENEZA HEADPHONE FEKI NA KUPATA HASARA YA MABILLIONI.
Kampuni ya "Beats Electronics" ambayo inamilikia na gwiji wa muziki wa hip hop nchini Marekani Dr. Dre ameilalamikia nchi ya China kwa baadhi ya wananchi wake kutumia njia ya mtandao kuuza bidhaa za headphone ambazo ni feki zinazotengenezwa nchini China,zenye logo ya B ambazo zinatengenezwa na kampuni hiyo ya Beats na kupata hasara ya dola za kimarekani 135 BILLION.
Comments
Post a Comment