NEW SONG: MIRACLE "NAELEKEA IKULU" PRODUCED BY DUKE

Naomba usikilize huu wimbo kwa umakini ambao kwanzia wazo lenyewe mpaka mchanaji amesimamia kwenye mada bila kuchanganya mambo mambo yasiyokuwa ya msingi, pia nimependa mixing nzuri iliyofanyika chini ya fundi wa midundo  Duke Touch,

Msanii huyu ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wengine sio kila siku tunasikia mistari  kama "Mimi mkali sijui natisha kama Zombi,hapana mistari hii namnukuu "Nash MC"

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA