Posts

Showing posts with the label NEWS

If you live in UK you now can transfer money to E. Africa, no fee, using Wave

Image
Wave , a New York-based money transfer firm, has expanded its M-Pesa-linked diaspora remittance services to the United Kingdom. This means that East Africans living in the UK can now use the  Wave app  to send money directly to Safaricom’s M-Pesa wallets, as well as to Uganda and Ethiopia through MTN mobile money. They can also send to Tanzania’s M-Pesa. Wave , launched in May 2014, was previously only available in the US and Canada. Remittance inflows from Europe, mostly the UK, accounted for nearly a third of the $559 million (Sh55.9 billion) Kenyans sent back home in the five months to May this year. Drew Durbin, Wave co-founder and chief executive, said the money transfer firm is banking on the fact that it does not charge any commission to send cash to win market share. “Wave now supports instant transfers from United Kingdom debit cards to Kenya, Uganda, Tanzania and Ethiopia,” Mr Durbin said in a statement. “The rest of Europe is coming soon,” he said without offering any

Magazeti ya Leo Jumatatu, Sept 19

Image

CHANGIA MAAFA KAGERA

Image

RAIS MAGUFULI ATOA SIKU 7 KWA WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO KUMALIZA DENI WANALODAIWA NA NHC

Image
Na: Lilian Lundo- Maelezo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa siku 7 kwa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kulipa deni la bilioni 2 ambalo wanadaiwa na Shirika la nyumba la Taifa (NHC). Dkt. Magufuli ametoa agizo hilo kwa Katibu Mkuu wa Sekta ya Ujenzi, Injinia Joseph Nyamhanga leo jijini Dar es Salaam katika ziara ya kushtukiza ya kuangalia ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. “Nawapa siku 7 muwe mmelilipa hilo deni huku mkiendelea na utaratibu wa kuhamia Dodoma, kama hamtalilipa kwa wakati nitawaagiza NHC kuwatolea vitu vyenu nje kama wanavyofanya kwa wengine,” alisema Dkt. Magufuli. Amesema kuwa kiwango hicho cha bilioni 2 kingeiwezesha wizara hiyo kujenga ofisi za wizara kwa kuwatumia Wakala wa Majengo (TBA) ambao wako chini ya wizara hiyo badala ya kutumika kama kodi ya pango. Aidha, ameitaka wizara hiyo kuhamia Mjini Dodoma mara tu watakapokamilisha deni hilo na kutoendelea kupanga

Tanzania’s President to host East African Presidents

Tanzanian President John Magufuli will host East African Community (EAC) member states Presidents for a special summit this Thursday, 8th September South Sudan’s President Salva Kiir will be making his maiden appearance with the world’s youngest nation having just formally become a member of the community. Kenya’s President Uhuru Kenyatta, Uganda’s President Yoweri Museveni, Rwanda’s Paul Kagame and Burundi’s President Pierre Nkurunziza will be attending. “Now that they (South Sudan) have taken this step further (Joining the EAC officially), the Secretariat will seek guidance from the EA Council of Ministers on developing a detailed roadmap for integrating the Republic of South Sudan into ongoing EAC projects and programs,” said EAC Secretary General Ambassador Liberat Mfumukeko, adding that the leadership in Juba will be informed on every step taken in that regard according to the  Daily News

MAKAMU WA RAIS AZINDUA HOTEL YA NYOTA TANO KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM

Image
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la funguzi wa hotel ya Ramada Encore  yenye hadhi ya nyota 5 jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hoteli hiyo Bw. Abdul Ismail.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa hoteli ya Ramada Encore iliyopo katikati ya jiji la Dar es Salaam.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia)akizungumza na  Mkurugenzi Mtendaji wa Hoteli Ramada Encore  Bw. Abdul Ismail wakati wa halfa fupi wa uzinduzi wa Hotel ya Ramada Encore jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuzindua hoteli ya nyota 5 ya Ramada Encore katikati ya jiji la Dar es salaam.

HakiElimu "documentary" kuhusu Elimu Bure - Tafakari katika fikira angavu!

Image

TTCL WASHIRIKI MAONESHO YA MKUTANO 14 WA WAHANDISI MLIMANI CITY DAR

Image
Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kitengo cha mauzo (katikati) wakiwahudumia wateja kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao. Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi unafanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.  Mmoja wa maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wateja juu ya bidhaa za TTCL kwenye maonesho ya bidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo. Kampuni ya TTCL imepeleka bidhaa zao na huduma kuwaonesha wakandarasi.  Baadhi ya wakandarasi wakitembelea mabanda anuai kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao.  Baadhi ya wakandarasi wakitembelea mabanda anuai kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya

MARUFUKU 'UKUTA' JIJINI DAR

Image
 Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha site Mirror zilizoibwa katika magari leo jijini Dar es Salaam.  Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akizungumza na waandishi habari juu ya Operesheni mbalimbali za kanda hiyo pamoja na kuzuia maandamano ya UKUTA, jijini Dar es Salaam leo.  Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha magazine ya kuwekea risasi zilizokamatwa jijini Dar es Salaam.  Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akioyesha bastola aina ya Browning yenye  risasi sita iliyokamatwa jijini Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina Simon Sirro akionyesha flana rangi mbalimbali zilizokamatwa.   (Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii). Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku maandamano y

Muhimbili Yafanikisha Upasuaji Mfumo wa Njia ya Mkojo kwa Watoto Pacha

Image
Daktari bingwa wa upasuaji wa watoto katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH, Dk Victor Ngotta (kushoto) akimfanyia upasuaji Eliudi jana kwa kushirikiana na Profesa Saber Waheeb (katikati) na Dk Mohamed Malak kutoka Misri (kulia). Dk Mohamed Malak, Profesa Saber Waheeb kutoka Misri na Dk Victor Ngotta wakiendelea na upasuaji jana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Daktari Bingwa Watoto wa Upasuaji, Dk Zaituni Bokhary akizungumza jambo baada ya kumfanyia upasuaji mtoto Elikana aliyekuwa na tatizo la mfumo wa njia ya mkojo jana. Dk Bingwa wa Upasuaji, Dk Yona Ringo akiwa ofisini baada ya kumfanyia upasuaji mtoto Elikana ambaye alikuwa na tatizo la mfumo wa njia ya mkojo jana. Na John Stephen MNH Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jana imefanikisha kuwafanyia upasuaji watoto pacha ambao walikuwa wana tatizo katika njia mkojo. Watoto hao wametoka katika chumba cha upasuaji salama na sasa wanaendelea vizuri baada ya kurejeshwa

Kurasa za mbele na nyuma za baadhi ya magazeti ya Tanzania leo Agosti 18, 2016

Image