Posts

Showing posts with the label VIDEOZ

NEW VIDEO: TIZAMA VIDEO MPYA YA JUX - SISIKII

Jux ameachia video ya wimbo wake ‘Sisikii’ iliyoongozwa na Zeddy Benson. Kwenye video hii Vanessa Mdee ndiye msichana aliyeigiza kama mpenzi wake na Jux.

Young Killer ft BananaZorro - Umebadilika ( Official Video )

Image

NEW VIDEO: WYNJONES KINYE- "ASUBUHI ITAFIKA"

NEW VIDEO: TIZAMA VIDEO MPYA YA CHEREKO CHEREKO - CPwaa

Video iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu kutoka kwa  Ilunga Khalifa aka crunk Master au Cpwaa imetoka rasmi, Audio imetengenezwa na Mesen selekta huku  video ikiongozwa na Adam Juma (Next level).

NEW VIDEO: TIZAMA VIDEO MPYA YA NAMELESS "Butterfly"

VIDEO: YOUNG KILLER FT DAMIAN SOUL OFFICIAL VIDEO

ULIMISS KUANGALIA KIPINDI CHA MKASI WITH PENNY BASI HIKI HAPA

VIDEO: BABY J-NIMEMPENDA MWENYEWE.

Hii ndio video mpya ya Baby J inayoitwa "Nimempenda Mwenyewe" ambayo imeongozwa na Adam Juma.

VIDEO: ANGALIA VIDEO MPYA YA NAVY KENZO-CHELEWA "BOKODO"

VIDEO:ULIMISS KUANGALIA COKE STUDIO WAKATI DIAMOND AKIPERFORM?ANGALIA HAPA

Naseeb Abdul aka  diamond platnumz ni msanii anayetishakatika ukanda wa Afrika Mashariki katika miondoko ya  bongoflava kwa sasa.tokea atoke na ngoma yake ya kamwambie Naseeb hajawai kuzimika katika ulimwengu wa muziki wa bongo. Diamond ni moja ya wasanii anayejituma sana katika muziki huu wa bongo fleva na kila kukicha amekuwa ni mbunifu wa kuongeza thamani kwa kile anachokifanya,akiwa na zaidi ya nyimbo 130 kwenye library yake,week iliyopita alionekana ndani ya Coke studio na kuirudia ngoma ya temptation na msanii HHP kutoka Afrika ya kusini,hii imemfanya diamond kubadilika kimziki na kuonyesha style nyingine ambayo imemfit pia. Akiwa na umri wa miaka 24 tu kwa sasa , Diamond alianza muziki tokea akiwa na miaka 13 na alikua akicopy baadhi ya miziki na baadae baada ya kujiunga na sekondari mama yake mzazi alimwambia aachane na muziki lakini mzee mzima alikomaa na kufight hadi kufika alipo kwa sasa. Alipokwenda Coke studio diamond aliirudia ngoma ya "temptation" ya

VIDEO: NAKUPENDA PIA - WYRE FT. ALAINE (OFFICIAL VIDEO) LOVECHILD RECORDS

VIDEO:ANGALIA WIMBO WA Alaine- "You Are Me"