NEW VIDEO: TIZAMA VIDEO MPYA YA JUX - SISIKII

Jux ameachia video ya wimbo wake ‘Sisikii’ iliyoongozwa na Zeddy Benson. Kwenye video hii Vanessa Mdee ndiye msichana aliyeigiza kama mpenzi wake na Jux.

Comments