KIKOSI CHA JWTZ KILICHOPO CONGO KIMESHIKA NAMBA 27 KATIKA VIKOSI MAHIRI NA HATARI KATIKA MAPAMBANO
Anaandika Christopher Cyrilo . Kikosi cha Jeshi la wanananchi wa Tanzania kilichopo Congo kimetajwa ktk orodha ya vikosi mahiri na hatari kabisa ktk Mapambano (The most badas Elite Fight Units). Jeshi la maji la Marekani (US Navy SEAL) ndio linashika nafasi ya kwanza, likifuatiwa na Jeshi la anga la Uingereza (British Special Air Forces). Ktk orodha hiyo inayotaja vikosi 35 duniani vyenye nguvu, mbinu, umahiri na ambavyo ni hatari sana ktk mapambano, Jeshi la Tanzania lililopo Congo linashika nafasi ya 27 likiwa ni Jeshi pekee kutoka Afrika kuingia katika orodha hiyo. Nitoe pongezi kwa JWTZ kushika nafasi hii ya juu kbs ya heshima ktk majeshi. Mungu azidi kuwapa nguvu ktk kulitumikia taifa. Kwa taarifa zaidi tembelea http://m.atchuup.com/badass-elite-fighting-units/ 1. US Navy SEAL 2. British SAS 3. Huntsmen Corps : Danish Special Forces 4. French Special Forces 5. Shayetet 13 (Israeli Special Forces) 6. Irish army rangers 7. Australian SASR 8. MARSO