KIKOSI CHA JWTZ KILICHOPO CONGO KIMESHIKA NAMBA 27 KATIKA VIKOSI MAHIRI NA HATARI KATIKA MAPAMBANO
Anaandika Christopher Cyrilo.
Kikosi cha Jeshi la wanananchi wa Tanzania kilichopo Congo kimetajwa ktk orodha ya vikosi mahiri na hatari kabisa ktk Mapambano (The most badas Elite Fight Units). Jeshi la maji la Marekani (US Navy SEAL) ndio linashika nafasi ya kwanza, likifuatiwa na Jeshi la anga la Uingereza (British Special Air Forces). Ktk orodha hiyo inayotaja vikosi 35 duniani vyenye nguvu, mbinu, umahiri na ambavyo ni hatari sana ktk mapambano, Jeshi la Tanzania lililopo Congo linashika nafasi ya 27 likiwa ni Jeshi pekee kutoka Afrika kuingia katika orodha hiyo. Nitoe pongezi kwa JWTZ kushika nafasi hii ya juu kbs ya heshima ktk majeshi. Mungu azidi kuwapa nguvu ktk kulitumikia taifa. Kwa taarifa zaidi tembeleahttp://m.atchuup.com/badass-elite-fighting-units/
1. US Navy SEAL
2. British SAS
3. Huntsmen Corps : Danish Special Forces
4. French Special Forces
5. Shayetet 13 (Israeli Special Forces)
6. Irish army rangers
7. Australian SASR
8. MARSOC
9. Canadian counter terrorist group JTF2
10. Russian Special Forces: Spetsnaz
11. Dutch Special Forces
12. SBS
13. Delta Force
14. Belgian Special Forces Group
15. Norwegion MJK
16. Canadian Joint Incident Response Unit (Nuclear, biological and chemical warfare defence)
17. Marinejegerkommandoen – Norwegian Navy Special Forces
18. French Commando Marine
19. Norwegian Armed Forces’ Special Command
20. New Zealand Special Forces
21. US Army Special Forces Sniper with Remington Modular Sniper Rifle
22. Polish GROM
23. U.S. Special Forces
24. Indonesian Special Forces Command
25. Romanian Special Forces
26. Serbian Gendarmerie
27. Tanzanian Special Forces In Congo
28. German KSK (Army / Special Forces)
29. German Army Special Forces the KSK
30. ROC (Taiwan) Special Forces with bullet proof face masks
31. Austrian special forces: Jagdkommando
32. Kampfschwimmer (Combat Swimmers) from Germany’s elite SEK-M special forces
33. Iraqi special forces
34. Korean Special Forces
35. Peruvian Army special forces
(Source: Imgur via Distractify)
Comments
Post a Comment