Posts

VICHWA VINNE VIKALI NDANI YA UKISIKIA PAAA.

Image
Unajua nini hawa jamaa ni noma sana katika suala la Hip Hop ebu chungulia hapa chini then utaniambia nini kinaendelea katika Industry hii........... Lyrics za Ukisikia PAAA, Intro ahhh...ahhhh ohhh yeahhh..(shhhh!).. it's the remix (shhhh!)...JCB....(ahhhh!).....Murder..! (Tongwe Records Babyyyy) Verse 1 (JCB) Damu ilitapakaa baada ya ule mlio kulia PAAA, Watu wote walisambaa hata walevi wa kwenye bar, Sio polisi sio baunsa iliye kaa utashanga kwa nini mshkaji alizidi kumimina kwa kujiamini, Amini usiamini akabaki tu na mimi, Akanishikia bunduki kwa chini, Akadai eti nimpe madini lasivyo ananipiga risasi kama sabini, Anasura kama idi amini akarudi karibu atua tatu mpaka kabatini, Akatamka HEYOO! nipo kazini nimetumwa mzigo au ujithamini, Akanikanyaga kwa chini kikorofi bunduki tena akaikoki Akasema kama simuonyeshi leo sio koki,jinsi alivyo akilenge ye akosi mikosi, Kavaa koti jeusi jasusi, Mikono nikaweka juu kuepuka nukx huku natukana mengi matusi... Chorus X2 Ukisikia PAAAA...uj...

UZOEFU BY SALUT VIDEO IS OUT CHECK IT

check out this video of One-Incredible

DOWNLOAD A NEW ALBUM OF LIL WAYNE

Image
Lil’ Wayne – I Am Not A Human Being This album is HOT click this link below to download it. http://www.blogger.com/www.dopenewsongs.com

Familia ya Mpangala yampongeza Vodacom Miss Tanzania 2010

Image
Familia ya Emmanuel Mpangala ikiwa katika picha ya pamoja wakati wa tafrija ya kumpongeza Binti yao Genevieve aliyeshinda taji la Vodacom Miss Tanzania 2010.Kushoto ni Dunstan na mziwanda Brian. Dua ya kuanza kwa tafrija ikisomwa na babu.... Wazazi wa Miss Tanzania wakiwa na binti yao. Kamati ya Miss Tanzania nayo haipo mbali... Burudani ya mziki ikiendelea kutoka kwa ... . Kalunde Band na hapa Deo Mwanambilimbi akifanya vitu. Kocha wa Yanga Papic na Rais Mstaafu wa Klabu ya Yanga Imani Madega wapo... Wadau wa TMK wakiongzwa na Ben Kisaka wapo. Mambo flani ya sherehe yalikuwa kama hivi Somoe aliongoza msafara huu. Miss Tanzania wa zamani (2009) nae huyo anapakua chake... Mdogo wa Vodacom Miss Tanzania akishusha stata yake. picha na habari ni kutoka wa father kidevu.

MATONYA & NONINI LIVE IN LONDON

Image
•★•★•★BONGOUK PRESENT EAST AFRICAN SHOW DOWN 2010•★•★★• @ TEREZA JOANNE BOAT KING GEORGE V DOCK E16 2QY London, United Kingdom •★•★•★•BONGOUK ENTERTAINMENT ARE TAKING ENTERTAINMENT TO NEW HEIGHTS WITH THE VERY BEST ENTERTAINERS, THE GODFATHER OF GENGE NONINI AND THE BONGO FLAVA KING MATONYA★•★•★•★ ★•★•★•★ PERFORMING LIVE ON THE SAME STAGE FOR THE FIRST TIME EVER IN THE UK "THE EAST AFRICAN SHOW DOWN"★•★•★•★ *********************************************** •★•★•NONINI WILL PUT THIS PARTY ON FIRE BY PERFORMING HIS HITS LIKE NEVER B4........... ★•★•★•★GENGE LOVE, KADHAA, MANZI WA NAIROBI, FURAHIDAY ETC.. *********************************************** ★•★•MATONYA WILL BE PERFORMING HIS HITS LIKE ★•★•★•★ANITA, VAILET, TAXI BUBU, SPAIR TIRE, SIAMINI ETC EARLY BIRD TICKET AVAILABLE FOR ONLY £10 £15@THE DOOR B4 MIDNITE / MORE AFT ▀▀▀▀▀ ►FROM 9PM TILL 4AM

Vodacom yatoa ofa ya internet Bure

Kampuni ya Simu za Mkononi ya VodaCom Tanzania, imezindua huduma mpya ya intaneti ambayo itawawezesha wateja wake kulonga (chat)kwa intaneti bure. Mkurugenzi wa Uhusiano wa VodaCom Tanzania, Mwamvita Makamba amesema kuwa wateja wa VodaCom sasa wanaweza kuwasiliana zaidi kwa kulonga bure kwenye tovuti za FaceBook, TheGrid na VodaMail. Huduma hiyo itapatikana kwa simu za mkononi na pia kwa Laptop zilizounganishwa na USB Moderm. “Tunapenda wateja wetu watumie mtandao wetu kwa kuwasiliana bure na hivyo kukata kiu yao ya mawasiliano”. Alifafanua kwamba hayo yote yatawezekana kwa kutumia mtandao wa 3G ambao una kasi na nguvu kubwa.