Familia ya Mpangala yampongeza Vodacom Miss Tanzania 2010


Familia ya Emmanuel Mpangala ikiwa katika picha ya pamoja wakati wa tafrija ya kumpongeza Binti yao Genevieve aliyeshinda taji la Vodacom Miss Tanzania 2010.Kushoto ni Dunstan na mziwanda Brian.
Dua ya kuanza kwa tafrija ikisomwa na babu....
Wazazi wa Miss Tanzania wakiwa na binti yao.
Kamati ya Miss Tanzania nayo haipo mbali...
Burudani ya mziki ikiendelea kutoka kwa ....
Kalunde Band na hapa Deo Mwanambilimbi akifanya vitu.
Kocha wa Yanga Papic na Rais Mstaafu wa Klabu ya Yanga Imani Madega wapo...
Wadau wa TMK wakiongzwa na Ben Kisaka wapo.
Mambo flani ya sherehe yalikuwa kama hivi Somoe aliongoza msafara huu.
Miss Tanzania wa zamani (2009) nae huyo anapakua chake...
Mdogo wa Vodacom Miss Tanzania akishusha stata yake.
picha na habari ni kutoka wa father kidevu.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA