Posts

MSANII PABLO AMEFARIKI LEO

Image
Pablo kwa ambae hamfahamu alichana katika wimbo wa daz baba, nipe tano, ukiitizama utamsikia akijitaja jina lake, kavaa t shirt ya mistari.pole kwa wale woote wanaharakati wa mziki wetu kwasababu tumempoteza mmoja wa wanaharakati. mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi . RIP

Msiotahiriwa Kagera Jiandaeni'

Midume ya kisiwa cha Goziba wilayani Muleba mkoani Kagera ambayo haijatahiriwa imetakiwa kujiandaa kushiriki uzinduzi wa tohara kwa wanaume Januari hapo 22 heheeeee. Taarifa iliyotolewa jana na Ubalozi wa Marekani nchini, ilisema uzinduzi huo ni wa aina yake na utafanywa katika maeneo ya vijijini na watu wanaotarajiwa kuhudumiwa ni zaidi ya 3,500 katika miezi kadhaa ijayo. Tohara hiyo na huduma mbalimbali zinazohusu virusi vya Ukimwi zitatolewa bure visiwani humo ambako mahema yatasimikwa kutoka Serikali ya Marekani. Kampeni hiyo inakwenda pamoja na kanuni za msingi, kwamba tohara kwa wanaume ni sehemu ya kinga dhidi ya maambukizi ya Ukimwi na ilishathibitishwa katika maeneo ambako kuna maambukizi makubwa ya ugonjwa huo na idadi ya waliotahiriwa iko chini. Visiwa hivyo vilivyoko ndani ya Ziwa Victoria, vinatambulika kwa kuwa na kiwango cha juu cha vitendo vya ngono kutokana na asili ya biashara ifanyikayo hapo ya uvuvi wa samaki ambayo inamlazimu mvuvi kusafiri huku ...

FURAHI DAY.................

Image
NAWATAKIA WEEKEND NJEMA WAPENZI WOTE WA BLOG HII

NGOMA TIME

Image
SIKILIZA SAUT FM 96.1 FM LIVE FROM ST.AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA KIPINDI CHA NGOMA TIME SAA 8:00 MCHANA MPAKA 10:00 JIONI DON'T MISS THE SHOW

MAPANKI BADO YAPO?

Image
Kuna baadhi ya sehemu bado mapanki yanaendelea kutumika kama kitowewo ,nilipita maeneo ya mazami nikaona mapanki yakiuzwa...........minofu iende ulaya watanzania waendelee kula mapanki stuka....chukua hatua

MBUNGE WA JIMBO LA MUSOMA MJINI ATEMBELEA WAGONJWA NA KUTOA VITABU KWA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARY KATIKA JIMBO HILO

Image
Mbunge wa jimbo la Musoma mjini Vincent Nyerere ametembelea wagonjwa katika Hospital ya Mkoa wa Mara ambapo baadhi yao walitekwa na kukatwa mapanga juzi. Mheshimiwa Nyerere akimjulia hali mgonjwa katika hospital ya mkoa wa Mara ambaye ni mmoja ya wahanga ambao walitekwa na majambazi kisha kunyang'anywa fedha na mali zao Mheshimiwa Nyerere akimjulia hali mgonjwa katika hospital ya mkoa wa Mara leo,mzee huyu ana umri wa miaka 67 lakini cha ajabu ameshindwa kupata huduma stahiki kwa kile kinachosemekana hana fedha lakini wadau sera ya wazee inasemeaje? kilio chake kimefika kwa mheshimiwa Nyerere Mheshimiwa Nyerere akimjulia hali mgonjwa katika hospital ya mkoa wa Mara leo,huyu aliwahi kuwa katibu wa mbunge wa jimbo la Musoma vijijini na katika maelezo yake anasema kuwa majambazi waliomvamia kwake walikuwa zaidi ya nane na walipofanikiwa kuingia walimkata panga kama uonavyo picha hiyo na kisha kuchukua redio na fedha kiasi cha laki nane lakini baadaye redio zilipatika...

NGOMA TIME

Image
Usikose kusikiliza kipindi cha NGOMA TIME kuanzia saa 8:00 mpaka saa 10:00 jioni radio SAUT FM,96.1 nitakuwepo na wana DIDAS,NYANDA,MAZIKU,MLEI Tukisababisa kwenye MC.DONT MISS THE SHOW